Ni kweli bilioni 10 zimejenga flat 20? Au tuna woga kuhoji gharama halisi? | Page 13 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli bilioni 10 zimejenga flat 20? Au tuna woga kuhoji gharama halisi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngalikivembu, Apr 15, 2017.

 1. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2017
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,912
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Tunafurahia kupata hostel mpya za kulala wanafunzi pale Udsm. Ni sawa. Tumefahamishwa kuwa kuna flat 20 zenye floor 4 kila moja.

  Mimi sio mtaalamu wa majengo. Lakini wataalamu wa majengo wanaweza kweli kututhibitishia kuwa hizi bilioni kumi ndio halisia? Ukiangalia kwa ukaribu unapata shaka. Naamini kuna hela imezidi Ila kwa vile mkuu alishatamka hicho kiasi basi TBA wamelazimika kuendelea kukariri bilioni kumi.

  Jé wasimamizi wa mradi huo walikuwa hawalipwi? Bodi ya ukadiriaji majenzi ina standard zake katika kujenga Jengo lolote. Nina amini ipo siku tutapata uhalisia wa gharama hizo.

  Kuna athari kubwa ya kutokuwa wakweli katika mradi huo. Athari yake ni kuwa kila jengo litakalojengwa nchini kama litapita gharama hizo basi wataambiwa wameweka chá juu. Tuliona hili kule Simiyu. Rais alikataa Jengo lenye kukadiriwa hela nyingi. Akatoa mfano wa bilioni kumi katika mradi huu wa mabweni ya udsm. Wataalamu watakuwa na woga kuleta gharama halisi zá majengo kwa hofu ya kuambiwa wameweka chá juu.

  Tunahitaji kupata majengo haya kwa gharama nafuu lakini isiwe chini ya nafuu. Natoa wito wakadiriaji majenzi waje hapa kutupa standard zao zikoje kwa majengo kama haya. Wasiogope kusema ukweli.

  Flat 20 ina maana kila flat iligharimu shilingi milioni 500. Jé flat moja lenye floor 4 gharama yake ni milioni 500? Na hapo hapo wakajenga na uzio. Sitaki kufurahia tu kupata majengo haya lakini lazima gharama halisi zionekane.
   
 2. MAHENGE JR

  MAHENGE JR JF-Expert Member

  #241
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 1, 2014
  Messages: 362
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Kuna watu huwa wanaamin vitu na kutoa sifabila kufanya uchunguzi.me mwenyewe siamini watanzania ni wepesi sana kukubali..
   
 3. s

  stigajemwa JF-Expert Member

  #242
  Apr 21, 2017
  Joined: Nov 12, 2016
  Messages: 402
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Ni kweli kiwango kilichotajwa hakiendani na uhalisia,lakini kwakuwa tumeamua kupiga siasa wacha hili nalo lipite.Kwangu mimi naamini zimetumika zaidi ya bilioni 10.sema kwakuwa rais ndiye mpanga bajeti ameshajiongeza kimyakimya
   
 4. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #243
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,221
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Wewee ni jizi , haya ndiyo majambazi ambayo Magufuri anapambana nayo
   
 5. k

  kiatu kipya JF-Expert Member

  #244
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 4, 2016
  Messages: 3,296
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Aiseee kumbe akili yako ndeziiii
   
 6. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #245
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,876
  Likes Received: 1,024
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha, wewe kwa nini humngoji Lowasa? Umekalia kutukana watu tu.
   
 7. k

  kiatu kipya JF-Expert Member

  #246
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 4, 2016
  Messages: 3,296
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Mimi nawagonja wote wawili dereva wa Lori na Mzee wa safari ya matumaini mkuu
   
 8. e

  eddy JF-Expert Member

  #247
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 10,583
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Badala ya kujenga haya majengo dar, UDSM wangejenga cumpus mpya Geita, mining na geology collage zingehamia huko iliko migodi wanafunzi wakapata muda wa mazoezi migodini na wahadhiri wangefanya research pia. Nawaza tu.
   
 9. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #248
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,876
  Likes Received: 1,024
  Trophy Points: 280
  Utangoja hadi mauti yatakapokukuta. Endelea tu; vizuri sana.
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #249
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 8,287
  Likes Received: 1,881
  Trophy Points: 280
  Shida yetu ni hostel hayo ya kutaka kujua gharama kama ni yenyewe au la nenda kwa aliyepewa tenda ya ujenzi,tulichohitaji kwa ajili ya wanafunzi tumekipata,kuhoji au kutohoji hakutusaidii.
   
 11. k

  kiatu kipya JF-Expert Member

  #250
  Apr 22, 2017
  Joined: Dec 4, 2016
  Messages: 3,296
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Unaona uchawi wako sasa unataka nife Leo? We wa ajabu sana mkuu
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...