Ni kweli bilioni 10 zimejenga flat 20? Au tuna woga kuhoji gharama halisi? | Page 11 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli bilioni 10 zimejenga flat 20? Au tuna woga kuhoji gharama halisi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngalikivembu, Apr 15, 2017.

 1. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2017
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,907
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Tunafurahia kupata hostel mpya za kulala wanafunzi pale Udsm. Ni sawa. Tumefahamishwa kuwa kuna flat 20 zenye floor 4 kila moja.

  Mimi sio mtaalamu wa majengo. Lakini wataalamu wa majengo wanaweza kweli kututhibitishia kuwa hizi bilioni kumi ndio halisia? Ukiangalia kwa ukaribu unapata shaka. Naamini kuna hela imezidi Ila kwa vile mkuu alishatamka hicho kiasi basi TBA wamelazimika kuendelea kukariri bilioni kumi.

  Jé wasimamizi wa mradi huo walikuwa hawalipwi? Bodi ya ukadiriaji majenzi ina standard zake katika kujenga Jengo lolote. Nina amini ipo siku tutapata uhalisia wa gharama hizo.

  Kuna athari kubwa ya kutokuwa wakweli katika mradi huo. Athari yake ni kuwa kila jengo litakalojengwa nchini kama litapita gharama hizo basi wataambiwa wameweka chá juu. Tuliona hili kule Simiyu. Rais alikataa Jengo lenye kukadiriwa hela nyingi. Akatoa mfano wa bilioni kumi katika mradi huu wa mabweni ya udsm. Wataalamu watakuwa na woga kuleta gharama halisi zá majengo kwa hofu ya kuambiwa wameweka chá juu.

  Tunahitaji kupata majengo haya kwa gharama nafuu lakini isiwe chini ya nafuu. Natoa wito wakadiriaji majenzi waje hapa kutupa standard zao zikoje kwa majengo kama haya. Wasiogope kusema ukweli.

  Flat 20 ina maana kila flat iligharimu shilingi milioni 500. Jé flat moja lenye floor 4 gharama yake ni milioni 500? Na hapo hapo wakajenga na uzio. Sitaki kufurahia tu kupata majengo haya lakini lazima gharama halisi zionekane.
   
 2. sungusungu

  sungusungu JF-Expert Member

  #201
  Apr 17, 2017
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 2,794
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Ni kweli hapo Kuna mashaka,niliona mahali kisima cha maji kinazinduliwa na kiongozi wa mbio za mwenge 2016 kilitafuna milion 540
   
 3. u

  unprejudiced JF-Expert Member

  #202
  Apr 17, 2017
  Joined: Jan 27, 2017
  Messages: 706
  Likes Received: 512
  Trophy Points: 180
  Ukiacha majungu tutakuja kuku jibu. Hasa katika hayo majengo wewe ulichojifunza ni umuhimu wake au. What's your really Problem. Zungumza Hapa Kama mtu mwenye Utashi tofauti na mbwa. Ambaye yupo tu.
   
 4. Alex Tanzania

  Alex Tanzania JF-Expert Member

  #203
  Apr 17, 2017
  Joined: Jul 8, 2016
  Messages: 437
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  Kwa gharama hiyo na kwa majengo yale niliyoyaona sidhani kama inawezekana..........(inaongezeka kidogo)lakini binafsi kama mtaalamu wa majengo.....Ni bora tuendelee kutumia utaratibu huu huu wa Mkuu wa nchi sababu anaokoa gharama kubwa ukilinganisha na wakandarasi binafsi ambao mara zote huwa wanacount super normal profit...........Though TBA inabidi waendelee kupata wataalamu zaidi wa ujenzi.
  Otherwise kwa hili nimpongezee tu mkuu wa nchi kwa kuthubutu hili......maana limeonekana.....limefanikiwa.......

  NB: mimi sio ndugu yake #lizaboni
   
 5. edu88

  edu88 JF-Expert Member

  #204
  Apr 18, 2017
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  Ndo maana Mkuu anatunyoosha tu na wala hajali kelele zetu. Yaani sisi ni lawama na kuombea mabaya tu.
   
 6. edu88

  edu88 JF-Expert Member

  #205
  Apr 18, 2017
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  Hawaoni hilo. Wao ni kuombea mabaya tu. Yaani Mtanganyika sijui apewe nini ili aridhike.
   
 7. edu88

  edu88 JF-Expert Member

  #206
  Apr 18, 2017
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  hahahahahahahahaa. Daaah, umenifurahisha.
   
 8. B

  Babati JF-Expert Member

  #207
  Apr 18, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 29,277
  Likes Received: 22,380
  Trophy Points: 280
  Nani atakagua maelekezo yametoka juu?
   
 9. edu88

  edu88 JF-Expert Member

  #208
  Apr 18, 2017
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  We jamaa kila kitu unaponda. Endelea kujaza roho yako na sumu hadi 2025.
   
 10. edu88

  edu88 JF-Expert Member

  #209
  Apr 18, 2017
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  Kaka, umeongea point nzuri sana. Tumeibiwa sana aisee. Hela ilikuwa inapigwa kuanzia ununuzi wa kiwanja. Raisi akifanya mema, bado watu wanaponda. Hatuna shukrani kabisa.
   
 11. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #210
  Apr 18, 2017
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,565
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  wewe una akili saanaa!
   
 12. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #211
  Apr 18, 2017
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,377
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Wadukuzi kutoka sekta ya ujenzi wamenijuza kuwa gharama ilifikia 46.9B sasa kwa kuwa mkulu anataka kutuaminisha kuwa kuna upigaji wa bei ambao yeye ameudhibiti ndo kakomaa na hiko kiwango
   
 13. vespere

  vespere Member

  #212
  Apr 18, 2017
  Joined: Jan 13, 2015
  Messages: 41
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Binafsi naunga mkono ujenzi wa hizo flat na mpongeza rais wangu kwa kazi nzuri aliyofanya kwa maslahi ya watanzania ila siyo vibaya kujua gharama khalisi ya hayo majengo kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo, swali kama kweli hayo majengo ni zaidi ya 10bilions kwanini uongo utumike na kwa faida ya nani.Mimi sitaki sana kuamini kwamba rais wangu amedanganya laiti BOQ ya hayo majengo yangekuwa wazi labda tungefahamu ukweli .Nia ya rais wetu ni njema kabisa hivyo sioni sababu ya kuficha gharama halisi ya majengo hayo. Najiuliza tu siku ikija bainika gharama halisi ya hayo majengo ni zaidi ya 10bilions nafsi ya rais wangu itakuaje?
   
 14. edu88

  edu88 JF-Expert Member

  #213
  Apr 18, 2017
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  Kaka unastahili upewe Shahada ya heshima kwa comment hii tu. Kama hawajakuelewa, hawatakuelewa tena. Nikujibu tu swali lako, nchi hii ni ya kijamaa maana Katiba inatambua hilo. Viongozi walikuwa hawatekelezi hilo. Sasa JPM anatukumbusha sisi ni nchi ya aina gani na anawekeza kwenye vitu vyenye tija.
   
 15. Col Miraji

  Col Miraji JF-Expert Member

  #214
  Apr 18, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 549
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 80
  Sio kweli na hao wadukuzi mnajidanganya
   
 16. J

  John-Q JF-Expert Member

  #215
  Apr 18, 2017
  Joined: Oct 4, 2016
  Messages: 423
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 80
  Tushukuru yamekamilika na yamekabidhiwa!

  Hata sisi wenye wake wakorofi huwa tuna undervalue baadhi ya matumizi yetu ili bibie asilalamikiwe kuwa ni wafujaji wa pesa
   
 17. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #216
  Apr 18, 2017
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 782
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60


  umeongea point tupu mkuu, nawachallenge bodi zinazohusika na ujenzi kuanzia AQRB, CRB, ERB even NCC, waichukulie hii
  project kama case study wajaribu kui analyse ili tuwekana sawa kwamba saving imetokea wapi otherwise inakula kwao!
  hata private clients base ya reference yao ni hizo hostels, lakini ni kwa sababu public haijaelezwa ukweli!
   
 18. gezzle

  gezzle Senior Member

  #217
  Apr 18, 2017
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 128
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hanajidanganya mwenyewe tu.....
   
 19. Patriot

  Patriot JF-Expert Member

  #218
  Apr 18, 2017
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,828
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  Najaribu kufikilia kwamba labda walitumia mara mbili ya hizo zinazotajwa, yaani bilioni 20. bado naona ni kiasi kidogo ukilinganisha na mazoea yetu.

  Nadhani tuache zomea zomea! Hilo la Simiyu, kweli hukupata chanzo cha tatizo ni nini? Hukusikia udanyanyifu wa injia na michoro ya bandia aliyoonyeshwa rais? Hata kama tuliishi miaka mingi kwa rushwa ktk awamu za nyuma sasa tkubali kwamba hatukustahili ushenzi wa aina ile nchini.

  Mabwege wenye kujikomba wakawa ni matajili na kwa mahitaji yetu ya pesa tukawasujudia hadi leo hii. Manji! Manji!! Washout!!!
   
 20. M

  Mzee wa Mbinu Senior Member

  #219
  Apr 18, 2017
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  Mungu mkubwa watusaidie kujenga moja kwa kila wilaya kwa ajili ya madaktari na walimu kwa kuwa hii itasaidia watanzania wote ambao hawana uwezo wa kufika kwenye chuo hicho ila nao ni watanzania
   
 21. King Sammy

  King Sammy JF-Expert Member

  #220
  Apr 18, 2017
  Joined: Sep 17, 2013
  Messages: 294
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 60
  Gharama inategemea ramani, location na upatikanaji wa building materials. Vile vile hosteli haina partition nyingi kama nyumba ya kuishi. Mi naamini kwa nature ya ujenzi huu billion 10 zinatosha
   
Loading...