Ni kweli Bia ni tamu kama inavyodaiwa?

Mil 20 mbona ndogo kuna mtu aliteketeza million 700 viwanja akijivinjari na masuper star wa bongo movie masela wakimsogelea anarusha laki sasa hivi yupo yupo tu na kitambi chake usafiri wake bodaboda!
Watu kama hawa ni vizuri tuwafanyie interview redioni au Tv. Kuna mengi yakujifunza kupitia hawa watu. Success and failures are two extremes that contains many lessons.
 
Makopa ni Nini?yaani juice embe ni kila kitu,nakushauri uache pombe na sigara jamaa yangu
Makopa mihigo iliyokauswa uatia kwenya mahind unasaga !!
NB wape watoto wako dona utsona wanavyibadilika!!!
Mm bia siach!! Nilijaribu kuacha nikawa naishiwa sana !! Sigara embassy navuta moja kwa cm siachi aisee
 
Watu kama hawa ni vizuri tuwafanyie interview redioni au Tv. Kuna mengi yakujifunza kupitia hawa watu. Success and failures are two extremes that contains many lessons.
Kuna watu wanatafuta laki ya mraji,, mkuu mil 20 akateketeza kwa pombe duuh,,, licha ya kuhijiwa sina imani kama anafamilia inayomtegemea na kama anayo atakuwa na laana.

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
 
Biaaaa biaaa mitungii!!
Bia Tam!
Natumai muwakheli wa afya,,,,

Nijikite moja kwa moja kwenye mada husika, mimi sio mnywaji wa bia ila napenda kufahamu kupitia watumiaji wa kimiminika hicho.

Je ni kweli Bia ni tamu kama inavyodaiwa?

Nakumbuka siku moja nikiwa na rafiki zangu tulitoka mahali pa kupata vinywaji na chakula (Hotel), ilikuwa weekend wao wakaaagiza vinywaji aina ya serengeti light me nikaagiza juice ya embe kadri muda ulivyozidi kwenda ndivyo walizidi kuongeza vinjwaji wakati huo me bado nahangaika na juice yangu.

Nikajiuliza inaa maana aina hii ya kinywa haina kikomo mbona toka tumeanza wamesha maliza zaidi ya chupa 9 wakati me niko na kopo langu ni kuwa kuna radha tofauta lakini pia inawezaje kuishia tumboni bila tumbo kujaa alihali mtu akiagiza soda hawezi maliza hatachupa 3,!!

Na hii nimekuwa nikiiona sehemu nyingi za starehe kukuta meza imejaa vilevi kuliko juice au soda.

Sikuwa na majibu lakini pia sikuweza hata kuuliza kwani nilikua nimekaribishwa.
Kulitipia kibao hiki cha Mario kinachotikisa kwa sasa Bia tamu. Bila shaka watumiaji mpo hemu jimwayeni hapa tupate fahamu mengi zaidi juu ya utam wa bia....

Nawasilisha.
Enjoy, life is too short.
images%20(8).jpeg
 
Back
Top Bottom