Ni kweli au ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli au ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mafuluto, Apr 9, 2010.

 1. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2010
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Juzi juzi nilisoma mahali- sikumbuki wapi ila ilikuwa taarifa ya jinsi watanganyika wa maeneo ya mujini Ny walivyokutana na kuomboleza kifo cha Balozi Mwakawago.

  Katika taarifa hiyo, ilionekana risala yao ilisomwa na jamaa mmoja DR. Mwakalinga ! Sasa huyu jamaa kawa DR lini, au ndo yale yale ? Bila shaka somebody anaweza kutujuza, papaa Wile upo?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Inaonyesha wewe unamfahamu vizuri huyu Dr, si uweke wazi basi, kama hukubaliani na u-GANGA wake?
   
Loading...