Ni kweli Asilima 51i ya wanafunzi waliomaliza shule za kata wamefaulu kwenda form 5? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli Asilima 51i ya wanafunzi waliomaliza shule za kata wamefaulu kwenda form 5?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by analysti, Sep 9, 2010.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Nimemsikia Raisi wetu akiwaeleza wananchi ktk moja ya kampeni zake leo kuwa asilimia 51 ya wahitimu wa kidato cha nne shule za kata wamepata nafasi kwenda kidato cha tano. Mimi binafsi nina mashaka sana na hii kauli nikizingatia hali halisi ya hizi shule za kata. Sijui mnasemaje wana JF, Isijeikawa ni muendelezo wa mlolongo wa porojo katika kampeni.
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  si kweli
   
 3. M

  Masauni JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ni uongo mtupu,hawafiki hata asilimia 20, hivi huyu Bwana anapata wapi ujasili wa kusema uongo namna hiyo mbele ya hadhara ya watu. Kweli kikwete ameshatuona watanzania mabwege kweli. Au anatuona wote hatujawahi kwenda shule? Huyu bwana juzi juzi alihaidi bajaj 400 ambazo pia alihaidi 2005.Hakutekeleza, ameahaidi tena mwaka huu!! Mwaka huu hatudanganyiki
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,868
  Likes Received: 11,982
  Trophy Points: 280
  Hebu tuweke sawa wamefaulu au wamepata nafasi maana unaweza kufaulu na usipate nafasi, heading inasema wamefaulu kwenye maelezo yako umesema wamepata nafasi, wakati unatuweka sawa ngoja nizame kwenye makabrasha yangu.

  Elewa kufaulu kwa Tanzania hata una Div.4 unahesabika umefaulu sidhani kama unaweza kupata nafasi kwenda Form5 hata Makongo siku hizi hawachukui Div.4.
   
 5. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Ndo maana na mimi nikashtushwa, amesema wamepata nafasi kkwenda kidato cha tano, maana yake hawa wanafunzi wamepata > or = to div 3. Whis is quite imposible!!. Believe me, amesema wamepata nafasi kwenda kidato cha tano!! Huu ni uongo uliokithiri!!!
   
 6. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Watanzania Open your eyes ooooohhh!!
   
Loading...