Ni kweli Ashraf Marwan "a Superspy" ndiye aliyeikoa Israeli na kipigo kipindi kile cha Six Day War?

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Superspy bwana Ashraf Marwan alikutwa amekufa huko Nchi Uingereza katika jiji la London alipokuwa akiishi katika jumba aghali la kupanga la Carlton house.

Mwamba huyo "Angel" inasemekana alikuwa ni double agent baina ya Nchi yake ya kuzaliwa Misri na Israel.

Hakika kifo chake kilijawa na utata wa nina hasa alimuua!

Soma Who killed the 20th century’s greatest spy? | Simon Parkin

Tazama:

Sasa kwa anayeifahamu vyema historia ya huyo mwamba na atuwekee hapa.

Pia,je ni kweli ndiye aliyevujisha siri ya kushambuliwa Israel kwa ndege vita za Misri?

Nawasilisha.
 
𝓝𝓰𝓸𝓳𝓪 𝓷𝓲𝓼𝓱𝓾𝓼𝓱𝓮 𝓾𝔃𝓲 𝔀𝓪 𝓱𝓾𝔂𝓸 𝓳𝓪𝓶𝓪𝓪 𝓷𝓲𝓴𝓲𝓹𝓪𝓽𝓪 𝓶𝓾𝓭𝓪...
 
Huyu bwana mkubwa wayahudi hawakumpenda aliwahadaa kwenye vita ile 1973 kwa kuwapa taarifa nusu sahihi nusu uongo
 
Unaulizwa kuhusu ashraf unasema msomse Eli Cohen hivi majitu mengine mkoje?
Kuwa mpole usiwe na hasira dada yangu, mimi nimekupa jibu aliyewaokoa ni Eli Cohen kama unaona sio ni hoja tu na mjadala wa wazi au ulikuwa na jibu lako kichwani
 
Back
Top Bottom