Ni kweli Arusha inapoteza hadhi yake ya kuwa jiji la fursa na biashara?

Tangu mama samia aingie madarakani hadhi ya Arusha imerudi kwa kasi sana, Mikutano mikubwa inafanyika ni suala la muda tu covid ikiachia itakua bora sana.
Ni kweli mkuu hata Mikutano nayo imerudi kwa kasi sana pale aicc
juzi nlienda kufanya booking ya wageni wangu nilishanga kuona hoteli nyingi zilivojaa
kwa serikali hii naiona Arusha ikienda mbali sana
 
Tangu mama samia aingie madarakani hadhi ya Arusha imerudi kwa kasi sana, Mikutano mikubwa inafanyika ni suala la muda tu covid ikiachia itakua bora sana.
hata mimi nimeona hilo tofauti na miaka mitano iliyopita Arusha inakuja kuwa hatari tena
kingine serikali hii imeweka mkazo sana kwenye utalii nimeona pale njiro wanaanza design ya kituo kikubwa cha Mikutano East Africa
 
Merelani ilipojenhewa ukuta na Corona kuubaka utalii.. mzungo wa pesa za Arusha kwa asilimia kubwa unategemea utalii na madini
 
Tell us more
Ishu inakuja enzi ya nyerere kulaani watu wa kaskazini ikiwemo Moshi na Arusha,akisema isitokee mchaaga ameshika uraisi😃,tatizo upendeleo wa maendeleo Ina take chance Sana kwenye mikoa,mfano dar,na kingine ccm inaogopa watu wa kaskazini watafaid Sana wakileta maendeleo kaskazini ili Hali Kuna kila kitu Ila miundombinu ni mibovu.naona mama anaanza kupenda Sana Arusha siku iz ,
 
Tangu mama samia aingie madarakani hadhi ya Arusha imerudi kwa kasi sana, Mikutano mikubwa inafanyika ni suala la muda tu covid ikiachia itakua bora sana.
Arusha sio ya mchezo mchezo

1643456511815.png
 
Sure..tusubirie a complete budgetary year
Tamisemi huwa wanatoa kila robo mwaka kama njia ya kuwahimiza watendaji na kujipima..

Pia miezi ya Makusanyo mengi kwa baadhi ya mikoa bado mfano mikoa ya Nyanda za Juu Kusini,Mazao yanaanzia kukomaa mwezi wa 2-7 kwa hiyo hapo activities zinakuwa nyingi watu wanapovuna na kupeleka sokoni na ndio msimu wa makusanyo zaidi.
 
Tamisemi huwa wanatoa kila robo mwaka kama njia ya kuwahimiza watendaji na kujipima..

Pia miezi ya Makusanyo mengi kwa baadhi ya mikoa bado mfano mikoa ya Nyanda za Juu Kusini,Mazao yanaanzia kukomaa mwezi wa 3-7 kwa hiyo hapo activities zinakuwa nyingi za kuleta pesa.
mkuu you are smart, you always read between the lines, haupelekeshwi na unachokiona.

Back
Top Bottom