Ni kweli Arusha inapoteza hadhi yake ya kuwa jiji la fursa na biashara?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,743
Miaka 10 iliopita Arusha ilikuwa on fire katika maoni ya watu. Watu waliweza kulizungumzia hili jiji kuwa na mzunguko mkubwa wa pesa hivyo kuwa kivutio kwa fursa na uanzishaji wa biashara.

Lilivutia vijana katika fursa tofauti za kazi na biashara kutoka mikoa tofauti. Hili Jiji liliweza kuvutia investment kutoka hadi matajiri wa nje ya nchi.

Lakini recently siisikii Arusha midomoni mwa watu, hata humu JF zijaona hype yoyote juu ya huu mji badala yake ni negative comments.

Ni kweli Arusha inapoteza reputation yake ya mji wa fursa na biashara kwa vijana wa Tanzania..

Kama ni kweli inapoteza hadhi yake kwa kasi what really happened? Nini kinachoisibu/kilichoisibu Arusha.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom