Ni kweli application letter zinasomwaga TAMISEMI?

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
798
843
Wakuu, hope mko poa.

Nimekuta mjadala wa vijina walikuwa wanamponda dogo mmoja, eti anajikunja kuandika application latter kali uku, wakimuambia kuwa Tamisemi hawajiangaishagi kusoma application letter za waombaji wa ajira za ualimu.

Last year waombaji walikuwa karibia zaidi ya 100,000 (zaidi ya laki). Je, ni kweli Tamisemi wanapitiga application latter zaidi ya laki!

Tiririka
 
Sasa Kama Kuna walimu wanasahihisha mitihani ya secondari za Tanzania nzima (sijui wanakuwa laki ngapi) kwa miezi mitatu, ili kuhakikishia mtu anafaulu kwa kustahili.

Iweje Tamisemi washindwe kukodi walimu wawawsaidie kusoma barua yaani kusoma siyo kusahihisha tena barua laki moja ili kuhakikisha mtu anapata kazi kwa kustahili, siyo kufaulu mtihani.

Ukitaka ujue wanasoma tulia mpaka utakapoona umetoswa kwenye list. Subiri ndiyo utajua matiti ya mwanamke ameumbiwa mtoto kunyonya au kumfurahisha baba.
 
Haaa me siombi ajira lakini pia mwenye mkono mrefu(connection) na masomo yenye soko physics na math wataula, we jikunje uandike barua utaambulia unyoya
 
Sasa Kama Kuna walimu wanasahihisha mitihani ya secondari za Tanzania nzima (sijui wanakuwa laki ngapi) kwa miezi mitatu, ili kuhakikishia mtu anafaulu kwa kustahili...
Kwa wanawake wasio nyonyesha matiti yao sio halali kwa baba?
 
Ni vema ukaandika barua kama utaratibu unataka hivyo. Vinginevyo utajutia kwa kupuuza. Kheri kutimiza wajibu kuliko kupuuza
Mkuu, nimesoma comments zako, uko positive sana sana, ahsante kwa kututia moyo tusio na cha connections ila tunaamini katika ufanisi na kuwa vizuri, yaani competent. Kwa imani yangu, ubarikiwe.
 
Sasa Kama Kuna walimu wanasahihisha mitihani ya secondari za Tanzania nzima (sijui wanakuwa laki ngapi) kwa miezi mitatu, ili kuhakikishia mtu anafaulu kwa kustahili.

Iweje Tamisemi washindwe kukodi walimu wawawsaidie kusoma barua yaani kusoma siyo kusahihisha tena barua laki moja ili kuhakikisha mtu anapata kazi kwa kustahili, siyo kufaulu mtihani.

Ukitaka ujue wanasoma tulia mpaka utakapoona umetoswa kwenye list. Subiri ndiyo utajua matiti ya mwanamke ameumbiwa mtoto kunyonya au kumfurahisha baba.
🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom