.... makinda anaweza pia lakini si kama mwanamke, lazima tuanze kujadili jinsia sasa,Makinda ana walakini mwingi sana kama ni natural women...peleleza
Hana hekima,ni mtovu wa nidhamu .anadanganyika.Ni msaliti .Ana udicteta,Mnaanza kujadili urais wakati hata hiyo kazi ya uspika hajaifanya? Subirini tuone ufanisi kwenye uspika wake. Nina hofu uspika wake unaweza kuja kuwa janga la taifa.
Migiro can, makinda anaweza pia lakini si kama mwanamke, lazima tuanze kujadili jinsia sasa,Makinda ana walakini mwingi sana kama ni natural women...peleleza
Ajuza hatoweza kuwa raisi jamani!
Wamekosa la kufanya,Tanzania na hasa sisiem hakuna mwanamke anayeweza kuiongoza nchi labda kidogo Bi Rose Migiro,Mimi naona huyu rais wa NEC na CCM amekosa la kufanya anaanza kumdanganya huyu mama kuwa atamwachia urais,lakini kama urais wa NEC inawezekana.
Anna Makinda hawezi kuwa Rais kamwe kwenye political circle wanawake wengi wamekuwa wakipewa vyeo kama viburudisho,swala la kuwa Spika sio kwamba anaweza Urais,hiyo ni doto ya Mchana hawezi anababika sana,ana jaziba harafu ni mzee hana jipya.
Mnaanza kujadili urais wakati hata hiyo kazi ya uspika hajaifanya? Subirini tuone ufanisi kwenye uspika wake. Nina hofu uspika wake unaweza kuja kuwa janga la taifa.
Huo ni udhalilishaji wa kijinsia na kiakili.