Elections 2010 Ni kweli Anna Makinda anaandaliwa kuwa rais?

maarufu

Member
Nov 28, 2010
63
1
Jana asubuhi bbc walikuwa wakimuhoji AM na walimuuliza kuwa anaandaliwa kugombea urais akasema kama nikifanya mambo ya kueleweka miaka hii mitano basi naweza......

Je CCM wanajiandaa kuweka historia ya mwanamke kuwa raisi TZ?

michango wazee wa JF.
 
Wamekosa la kufanya,Tanzania na hasa sisiem hakuna mwanamke anayeweza kuiongoza nchi labda kidogo Bi Rose Migiro,Mimi naona huyu rais wa NEC na CCM amekosa la kufanya anaanza kumdanganya huyu mama kuwa atamwachia urais,lakini kama urais wa NEC inawezekana.
 
Migiro can, makinda anaweza pia lakini si kama mwanamke, lazima tuanze kujadili jinsia sasa,Makinda ana walakini mwingi sana kama ni natural women...peleleza
 
Anna Makinda hawezi kuwa Rais kamwe kwenye political circle wanawake wengi wamekuwa wakipewa vyeo kama viburudisho,swala la kuwa Spika sio kwamba anaweza Urais,hiyo ni doto ya Mchana hawezi anababika sana,ana jaziba harafu ni mzee hana jipya.
 
Mnaanza kujadili urais wakati hata hiyo kazi ya uspika hajaifanya? Subirini tuone ufanisi kwenye uspika wake. Nina hofu uspika wake unaweza kuja kuwa janga la taifa.
 
Kwa Tanzania ya sasa hakuna nafasi ya mwanamke kuwa Rais hata awe nani, si Makinda wala Migiro
 
Uraisi kwa mwanamke kwa tiketi ya CCM ni kitu ambacho kinawezekana 2015 hasa ukizingatia kuwa CCM vyeo vingi ni convience. Kwa picha ya haraka ni kwamba kuna wanaume zaidi ya wawili wenyew ushawishi ambao walishonyesha ni kugombe uraisi lakini kwa sababu moja au nyingine haikuwezekana. Its possible mind you if it happens it will not be about competence but rather convenience!
 
Mnaanza kujadili urais wakati hata hiyo kazi ya uspika hajaifanya? Subirini tuone ufanisi kwenye uspika wake. Nina hofu uspika wake unaweza kuja kuwa janga la taifa.
Hana hekima,ni mtovu wa nidhamu .anadanganyika.Ni msaliti .Ana udicteta,
 
Wamekosa la kufanya,Tanzania na hasa sisiem hakuna mwanamke anayeweza kuiongoza nchi labda kidogo Bi Rose Migiro,Mimi naona huyu rais wa NEC na CCM amekosa la kufanya anaanza kumdanganya huyu mama kuwa atamwachia urais,lakini kama urais wa NEC inawezekana.

Anna Makinda hawezi kuwa Rais kamwe kwenye political circle wanawake wengi wamekuwa wakipewa vyeo kama viburudisho,swala la kuwa Spika sio kwamba anaweza Urais,hiyo ni doto ya Mchana hawezi anababika sana,ana jaziba harafu ni mzee hana jipya.

Mnaanza kujadili urais wakati hata hiyo kazi ya uspika hajaifanya? Subirini tuone ufanisi kwenye uspika wake. Nina hofu uspika wake unaweza kuja kuwa janga la taifa.

Jamani hebu nielewesheni, kwani ni vitu gani vinavyotakiwa avifanye au awe ameshavifanya so far ili aweze kutambulika kuwa anaweza kuwa rais. Tuviweke hivyo vigezo ili asipotimiza sote tutasema kweli hafai au anafaa. Mimi sidhani kuwa jinsia ndiyo tatizo au kikwazo cha mtu kuweza kuwa
Rais wa Tanzania au la. Hebu tuorodheshe watu na sifa zao na pia tuorodheshe Sifa za Rais na kuangalia utendaji wa kila aliyewahi kuwa rais so far. Katika uanafunzi wangu kitu nilichojifunza ni kuwa KILA kiongozi ana mazuri na mabaya, kwa kila kundi, ikiwa ni pamoja na kundi la hao wanaomuunga mkono au kumpigia madebe.
Yule mnayemwita mzembe kuna wanaoona kuwa ni mtendaji mzuri sana sana tu......
Mimi nadhani Anna Makinda anaweza kabisa kuwa rais, kama ambavyo Asha Rose Migiro anavyoweza au mwanamke au mwanaume mwingine yeyote anayetaka kuwania urais anavyoweza.
 
sitashangaa kwani hata uspika kapewa na kundi fulani la watu ili aangalie maslahi yao na si maslahi ya taifa, hata yeye anajua. ccm na nec hawashindwi ndo maana dr slaa alisema nchi hii ni ya kufanyia overhall, sababu lisilowezekana kwa watu wote linawezekana kwa ccm. kama hawa ghasia na sophia simba ni mawaziri wakati uwezo wao unajulikana kuwa ni mdogo, si ajabu makinda kupewa urais. uspika umeshaanza kumshinda kumbukeni swali la tundu lissu na john mnyika si ilibidi spika wa kweli samwel sita aokoe jahazi lisizame. mungu tuepushe na mabalaa haya!!!!!!!!!!!!!!!
 
It is too early now to talk about her. Mwacheni apambane na mafisadi kwanza
 
Sio Kwa Sababu Makinda ni Mwanamke na Spika Ndio Credential ya Kuwa Raisi wa Tanzania. Watanzania Hatuoni Tofauti ya Mwanaume au Mwanamke CCM, Wote ni Bure na Hakuna Akili Kichwani. Kampeni ya Chadema, Strategies ni Zile Zile. Tutafanya Kampeni na Itambidi Makinda Atetee Hizi Sera za CCM: kwanini Mpaka Leo Wananchi Hawana Umeme na Maji Mijini na Vijini? Kwanini Uchumi wa Tanzania Unawaletea Umaskini Wananchi na Kuleta Utajili CCM? Kwanini Elimu na Afya ni Bora Huko CCM? Ni Vigumu Kuwadanganya Watanzania Tena na Tena...Red is Red na Green ni Green....Green Haiwezi Kuwa Blue....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom