ni kwasababu gani korodani za mwanaume zinatofautiana ukubwa?

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
nimechunguza kwangu na mwanangu wa mdogo miaka mi 4 nikaona korodani(vile vigoroli cha kushoto na kulia naona vinatofautiana size) hii ni kwa sababu gani??
 
wewe! na za mr kwani ziko hivyo? ila nijuavyo nikama kuna muda huwa zina sinyaa na kurudi tena kuwa sawa hebu ziguse kuona kama zipo na kama hazina maumivu?
 
na mie napenda kujua jamani yaani unaweza kuona za mwanaume uyu ni kubwaaaaaaa na zina minyamanyma ya kujazilizia mingi, ila mwingine yaani kimesnyaaaaaa utafikiri havipo unaona kingozi tu kimening'inia, hivi utofauti huo usababishwa na nini,
 
Na kwa utendaji je? Ni sawa au ipi zaidi?
 
na mie napenda kujua jamani yaani unaweza kuona za mwanaume uyu ni kubwaaaaaaa na zina minyamanyma ya kujazilizia mingi, ila mwingine yaani kimesnyaaaaaa utafikiri havipo unaona kingozi tu kimening'inia, hivi utofauti huo usababishwa na nini,

Husababishwa na joto. Joto kali zinaninginia kama pendulum. Nyakati ya baridi zinasinyaa.
 
na mie napenda kujua jamani yaani unaweza kuona za mwanaume uyu ni kubwaaaaaaa na zina minyamanyma ya kujazilizia mingi, ila mwingine yaani kimesnyaaaaaa utafikiri havipo unaona kingozi tu kimening'inia, hivi utofauti huo usababishwa na nini,

Ina maana wewe unaziona za wanaume tofautitofauti? Je huwezi tulia kwa mmoja? Jitahidi kubadirika
 
HAZOLE gfsonwin

It's normal
, and it's a good design, actually. It allows one to roll over the other easily and painlessly in those instances when the guy has to press his legs tightly together.

I'm serious---if they were the same size, pressing both legs tightly together could be painful!

They often hang at different levels. As far as size, the left is often smaller because of a cluster of veins above the left testicle that keep the testicle from growing to its normal size. Because testicles are in the scrotum to keep them several degrees cooler than core body temperature, the extra veins bring extra heat and this may be the cause.

And this is the same as most women are Having different-sized breasts and is perfectly normal. It's quite common for girls to have different-sized breasts or nipples, especially as they develop during puberty. Everyone's different, and no two women's breasts will look exactly the same. In fact, asymmetry — where one body part, like a foot or a hand, is a slightly different size or shape from its partner — is quite common in humans.
 
mi male,
ni kweli nimegusa zangu zinatofauti aisee

wewe! na za mr kwani ziko hivyo? ila nijuavyo nikama kuna muda huwa zina sinyaa na kurudi tena kuwa sawa hebu ziguse kuona kama zipo na kama hazina maumivu?
 
kwakweli nadhani ni maumbile tu. maana kikubwa ni kujali kama mtarimbo unaendana na shimo lako. kama zinafit hapo byeeeee.......kifuatacho ni maufundi tu

na mie napenda kujua jamani yaani unaweza kuona za mwanaume uyu ni kubwaaaaaaa na zina minyamanyma ya kujazilizia mingi, ila mwingine yaani kimesnyaaaaaa utafikiri havipo unaona kingozi tu kimening'inia, hivi utofauti huo usababishwa na nini,
 
mkuu ahsante umeeleweka vema sana. sasa nipo happy,
kilichobaki ni kutulia tu na kigoli wangu

HAZOLE gfsonwin

It's normal
, and it's a good design, actually. It allows one to roll over the other easily and painlessly in those instances when the guy has to press his legs tightly together.

I'm serious---if they were the same size, pressing both legs tightly together could be painful!

They often hang at different levels. As far as size, the left is often smaller because of a cluster of veins above the left testicle that keep the testicle from growing to its normal size. Because testicles are in the scrotum to keep them several degrees cooler than core body temperature, the extra veins bring extra heat and this may be the cause.

And this is the same as most women are Having different-sized breasts and is perfectly normal. It's quite common for girls to have different-sized breasts or nipples, especially as they develop during puberty. Everyone's different, and no two women's breasts will look exactly the same. In fact, asymmetry - where one body part, like a foot or a hand, is a slightly different size or shape from its partner - is quite common in humans.
 
Tukiacha hilo la tofauti ya sizi na positio level, makende ya mbuzi ni matamu sana mazee! Si mchezo!
 
Hazina ukubwa tofauti,ila ziko position tofauti moja imeshuka chini.hii ni position nzuri kuzizuia zisisagane au kusagwa na mapaja wakati ukitembea
 
valid and true fact ingawa mtoa mada tazam avema utofauti wa ukubwa

Hazina ukubwa tofauti,ila ziko position tofauti moja imeshuka chini.hii ni position nzuri kuzizuia zisisagane au kusagwa na mapaja wakati ukitembea
 
na mie napenda kujua jamani yaani unaweza kuona za mwanaume uyu ni kubwaaaaaaa na zina minyamanyma ya kujazilizia mingi, ila mwingine yaani kimesnyaaaaaa utafikiri havipo unaona kingozi tu kimening'inia, hivi utofauti huo usababishwa na nini,

Mbona ww chuchu yko moja kubwa nyingine ndogo??, pia miguu yako kwenye misuli mbona mwingine mnene mwingine mwembamba na hatukwambii??!!
 
nimechunguza kwangu na mwanangu wa mdogo miaka mi 4 nikaona korodani(vile vigoroli cha kushoto na kulia naona vinatofautiana size) hii ni kwa sababu gani??
Nimecheka sana...umenikumbusha mbali sana...'vigololi'
 
Ina maana wewe unaziona za wanaume tofautitofauti? Je huwezi tulia kwa mmoja? Jitahidi kubadirika

wewe nae hebu kuwa mkweli na nafsi yako, umewahi kuwa na mpenzi mmoja tu maisha yako yote mapaka hapo ulipo?

labda kama upo chini ya 30
 
Back
Top Bottom