Ni kwanini Wazungu huvaa kishamba ilihali wana hela?

Watu wenye akili ambao kwao time is factor of production hawana muda wa kuvaa hizo nguo mnazoziita kali. Wako busy na creativity and innovation

Kwa mfano huyo wa facebook zamani, alisema yeye anavaa t-shirts za rangi moja ili asipoteza muda kuchagua nguo ya kuvaa!! Wanathamini muda kuliko nyie mnaothamini PAMBA KALI ili hali ni mafukara!!!
 
Back
Top Bottom