Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,180
- 3,547
Nimejaribu kutafakari ni kwanini watu wengi waliopo ndani ya ndoa bado wana mapenzi na wachumba wao wa zamani kuliko wabeba mizigo ambao wamejitolea kuolewa nao au kuwaoa na kubeba majukumu yote lakini mwisho wa siku wabeba mizigo hawapewi love kwa kiwango cha juu zaidi
Nazungumza hivyo kwa sababu nina rafiki yangu alikuwa girlfriend wake walidumu karibia miaka 6 ndani uchumba Sugu lakini mwisho wa mchezo demu alikuja kuolewa na mshikaji mwingine ambae alionesha nia Akaja kuoa lakini baada ya mwaka mmoja alimtafuta msela wake wa zamani mpka leo hii wanakula raha na kupitia hela za mshikaji kamfungulia Ex wake biashara kubwa
Lakini mwisho wa siku hebu tujiulize why Ex huwa anapedwa sana kuliko mbeba mzigo