Ni kwanini watu wengi maarufu nchii hii wanatokea kigoma

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....

1.DIamond platnum KIGOMA

2.ALI KIBA KIGOMAAAA

3.ZITTO KABWE KIGOMAA

4.ABDUL NONDO KIGOMA

5.ASKOFU KAKOBE KIGOMA

6.SHEHE PONDA ISSA PONDA KIGOMA

7.JUMA KASEJA KIGOMA

8.LINAH KIGOMA

9.UPENDO NKONE KIGOMA

10.DAVID KAFULILA KIGOMA

11.KING MAJUTO KIGOMA

12.CHEGE CHIBUNDA KIGOMA

13.TX MOSHI KIGOMA

14.BANANA ZORO KIGOMA

15.MAUNDA ZORO KIGOMA

16.DOCTOR LEAKEY KIGOMA

17.FUNDI HAMIS FULL MIGEBUKA (KIGOMA)

18.

19.

HAYA MNAWEZA KUENDELEA KUWATAJA WENGINE NILIOWASAHAU LAKINI KWANINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana asili ya kudhubutu ni wabishi mwisho wa siku lazma wachomoze....mana ukiwa mbishi lazma tu watu watakuachia nafasi....hata hvo ni moja ya mikoa ambayo watu wake huanza vizur lakn mwishon huishia kwenye ufukara na umaskini wa kutupwa....hakuna billionare wa kutoka kigoma...
 
abuu amri ni mwanae nimekaa nae dawati moja ,ni rafiki yangu,hatufichani jambo.wewe hizo habari alikuahdithia au ulizisikia kwenye vijiwe vya kahawa
Kwa hiyo anayejua asili ni Majuto mwenyewe au mwanaye? Majuto mwenyewe alisema ametoka Kigoma, huyo mwanaye anajua nini? Wewe umekaa dawati moja na mtoto wake, wakati wengine tumefanya kazi na Majuto...
 
Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....

1.DIamond platnum KIGOMA

2.ALI KIBA KIGOMAAAA

3.ZITTO KABWE KIGOMAA

4.ABDUL NONDO KIGOMA

5.ASKOFU KAKOBE KIGOMA

6.SHEHE PONDA ISSA PONDA KIGOMA

7.JUMA KASEJA KIGOMA

8.LINAH KIGOMA

9.UPENDO NKONE KIGOMA

10.DAVID KAFULILA KIGOMA

11.KING MAJUTO KIGOMA

12.CHEGE CHIBUNDA KIGOMA

13.TX MOSHI KIGOMA

14.BANANA ZORO KIGOMA

15.MAUNDA ZORO KIGOMA

16.DOCTOR LEAKEY KIGOMA

17.FUNDI HAMIS FULL MIGEBUKA (KIGOMA)

18.

19.

HAYA MNAWEZA KUENDELEA KUWATAJA WENGINE NILIOWASAHAU LAKINI KWANINI

Sent using Jamii Forums mobile app
Majuto hatokei kigoma apo umekwama na umetudanganya hivi mkuu wewe unatokea kigoma?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom