Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Japo sio wote ila nimefanya utafiti watu wengi waliopitia mfumo wa elimu ya kuunga unga wana tabia fulani ya kujiona wanajua kila kitu lakini pia kujiona wao ni zaidi,
Nazungumza ni kwa sababu kuna jamaa mmoja hivi aliingia UDSM kupitia ule mfumo wa mature entry kwa kuwa alikuwa hana vigezo cheti cha form four kilikuwa kibovu ila sasa hivi mshikaji kila nikimuona anajiona kila kitu anakijua full kuwakosoa wengine akiwaona watu wakubweteka lakini hajui maisha yana Leo na kesho
Ni kwanini watu wanakuwaga namna hiii.