Ni kwanini Watanzania ( Wabongo ) wanaozamia katika Meli kwenda Bondeni au Mamtoni 'hushtukiwa' haraka 'Melini' kuliko Waafrika wengine?

Shida ya watanzania sio wavumilivu. Akiwa mafichoni njaa ikishaanza anaanza kuzunguka kutafuta maakuli na hapo ndio hukutana na wenyewe.
hapa kidogo nitofautiane na wewe.Njaa haina bouncer ni sawa na mtu anayewashwa sikio hata akiwa bouncer lazima akiweka kijiti sikioni akipikisha atatulia tuli ni sawa na njaa hata Mike Tyson angekuwa amejificha njaa ikimshika angejitokeza tu
 
Shida ya watanzania sio wavumilivu. Akiwa mafichoni njaa ikishaanza anaanza kuzunguka kutafuta maakuli na hapo ndio hukutana na wenyewe.
Nimecheka sana Mkuu kwani ulichokiandiak kinakaribiana na ukweli niliopewa japo nimeambiwa kuwa hata tabia ya Kunya kila mara ni sababu pia.
 
Alafu we jamaa unajionaga kichwa kumbe fisi maji tu
Nikupunguzie kidogo 'IQ' yangu ili nawe 'utambe' huko ( hapo ) ulipo na usiendelee kuonekana 'Mpumbavu / Popoma' kama ambavyo upo sasa?
 
hapa kidogo nitofautiane na wewe.Njaa haina bouncer ni sawa na mtu anayewashwa sikio hata akiwa bouncer lazima akiweka kijiti sikioni akipikisha atatulia tuli ni sawa na njaa hata Mike Tyson angekuwa amejificha njaa ikimshika angejitokeza tu
Wabongo wamezidi! kuna mzamiaji alisimulia walizamia kwenye meli, usiku wakawa wanatoka mafichoni wanaenda kutafuta maakuli, walipozoea mazingira wakawa wanatafuta hadi pombe wazimue vichwa.
Wenye meli walipohisi kuna njemba ziko mafichoni wakamwaga oil kwenye eneo ambalo ni lazima wazamiaji watapita.
Kweli asubuhi wakaona kweli nyayo zenye oil zimetokea mafichoni hadi kwenye maakuli na kurudi mafichoni tena.
Mabaharia hawakuwa na kazi zaidi ya kufata nyayo zenye oil na wakawadaka wakiwa wamelewa kama wapo kwenye meli ya babu yao.
 
Hivi siku hizi bado kuna watu wanazamiaga kwa meli kwenda Ulaya?

Alafu nasikia eti wa-Nigeria na ujanja wao wote wa kujaa Ulaya wameshindwa kujazana Urusi.

Hakika Russians are no joke...!!!!
Hilo swali hata mimi nilitaka kuuliza.
Kuhusu Nigerians kujazana Urusi, watu wanajazana sehemu zenye fursa. Urusi hali ngumu ukichanganya na baridi ile cha kufia nini?
 
Hivi siku hizi bado kuna watu wanazamiaga kwa meli kwenda Ulaya?

Alafu nasikia eti wa-Nigeria na ujanja wao wote wa kujaa Ulaya wameshindwa kujazana Urusi.

Hakika Russians are no joke...!!!!
Fanya kautafiti kidogo na pia ulizauliza namba ya Wanigeria waliopo Russia, ni kubwa sana.

Kwanza Russia ina ofisi mbili za kibalozi nchini Nigeria kule Lagos na Abuja.

Hawa jamaa wapo zaidi ya nchini Russia na wengi ni watalaam wa fani mbalimbali.

Sitaki kuingia eneo la kijasusi kwani hawa jamaa kwa kutumia lugha ya kirusi walichojifunzia huko Moscow ni watu hatari sana kwa maana kwamba wanaweza kabisa kutumika kama "afisa ndumilakuwili".

Hawa jamaa nimeishi nao na kufanya nao kazi katika nchi tofauti yaani ni lazima uwe macho masaa 24 maana huwezi fahamu anakupigia hesabu ipi.

Hawa jamaa hawazamii Ulaya kwa kutumia meli wao hutumia zaidi njia za kitalaam na kiteknolojia.

Kwa mfano wakati wa kombe la dunia lililofanyikia nchini Russia hawa jamaa walitumia vitambulisho vya kughushi na kuingiza wenzao zaidi ya 2000 kwa mpigo na wakatokomea St Petersburg na miji mingine.

Pia hawa jamaa wanatumia kitu chaitwa BEA au Bureau for External Aid ambayo imetenga fedha kabisa kwa wanigeria wanataka kwenda Moscow kusoma, na hivyo yaja kuwa njia kamili ya kuzamia Ulaya.
 
Jamani hapo kuna fundi moja ni hatari kwa kuzamia anajua lugha si chini ya 18 ni kijana tu wa mtaani anazamia kwenda na kuazamia kurudi ni noma hana mpinzani huyu mwenzetu
 
Hivi siku hizi bado kuna watu wanazamiaga kwa meli kwenda Ulaya?

Alafu nasikia eti wa-Nigeria na ujanja wao wote wa kujaa Ulaya wameshindwa kujazana Urusi.

Hakika Russians are no joke...!!!!
Russia utopolo mtupu umejaa huko nikafanye nini, wao wanakimbia kwao Russia
wenyewe wanadakwa kila siku nchi za West na kupingwa bomba.
 
Back
Top Bottom