Ni kwanini wasongolist wengi au ma geneous huishi maisha magumu baada ya shule au kustaafu?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,181
3,547
wakati ninasoma kuna watu tulikuwa tunawaita wasongolist na wengine tulikuwa tunawaita ma geneous.

hawa watu kwa kifupi ni wale watu ambao darasani walikuwa wanafanya vizuli darasani walikuwa wana perform vizuli na sio darasani hata makazini ni watu ambao wanafanya kazi kwa weledi mkubwa sana na wana vyeo vya juu sana wanapokuwa wapo kazini

ila kinachonishangaza watu wa aina hii wakishastaafu kazi au wakiwa wamemaliza shule wapo kitaa unawakuta karibia wengi maisha yanawashinda ule uwezo wake wa kiakili na kupambanua mambo akirudi mtaani anashidwa kuutumia ili kupambana na maisha

kuna wazee nawafahamu ukisoma historia yake tangu akiwa shuleni anafaulu sana hadi anaajiriwa serikali na wengine kufikia level ya wakurugenzi na makatibu wa wakuu n.k

lakini watu hawa hawa baada ya kumaliza kufanya kazi na kustaafu na kurudi mtaani huwa wanaishi maisha magumu sana yaani unamkuta mtu maisha ya mtaani yanamshinda kabisaa anashidwa kupambana kabisa wengine unawakuta wako stressed na maisha.

je tatizo ni nini hapo lakini
 
Kwa sababu wengi wao huwa hawaibi ili wakahonge sana,
Huwa hawapendi rushwa,
Huwa wanapenda kuona jamii ikienda mbele,
Hawana roho mbaya hivyo huwapa deal wenzao,

MAENDELEO YA MTU HAYAPIMWI NA MALI KIASI GANI.

Soma sana achana na hadithi za vijiweni
 
Kuna tofauti ya kuwa na akili nyingi na kupata maksi nyingi darasani.

Ndio kuna wale ambao ni TALENTED au GIFTED, EDUCATABLE na TRAINABLE. Sasa unaweza kukuta wale walio TALENTED hawana good academic performance lakini kutokana na TALENT zao wanaweza kufanikiwa sana kimaisha.
unakuta EDUCATABLE ana perform better in class kuliko TALENTED kwa mtazamo wa kawaida utasema huyu EDUCATABLE ni bright kuliko TALENTED lakini sivyo ndivyo.

Mfano mzuri wa watu ambao ni Talented ni kama wakina Diamond Platnumz, Bill Gates, Donald Trump, Albert Eistern na wengine wenye sifa za kipekee.

kwa Africa EDUCATABLE NI WENGI KULIKO TALENTED/GIFTED.

Educational psychologists mnaweza mkanirekebisha penye makosa.
 
Chenge ukipenda muite Joka lenye makengeza ni kati ya watu waliokuwa vizuri sana darasani tangu yupo Nyegezi seminary mpaka Harvard, lakini ni bonge la fisadi na ana mafanikio aliyoyataka. Je unazungumziaje hilo?
 
Back
Top Bottom