Ni kwanini wasiokuwa na Nauli au wamepanda kwa Msaada katika DalaDala ndiyo huwa Wazungumzaji wakubwa ndani ya humo?

Ninachojua wanaopiga domo zaidi katika madaladala ni watu kutoka uswahilini......
 
Kam juz kuna jmaaa mmoja alkua anaongea sana kwenye daladala utafkir ni daladala yake alaf mwsho wa sku nkaona analipiwa nauli hahahhaha na nlivyokuja kuona huu uzi asilimia 100 nmekubaliana nao
 
Back
Top Bottom