ni kwanini wanawake wengi uangua kilio cha majonzi siku ya harusi???

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
kuna kitu nashindwa kukielewa, nimebahatika kuhudhuria harusi kadhaa, mara nyingi wanawake na baadhi ya wanaume huwa wanalia either ile siku ya send off au siku yenyewe ya harusi, sasa hiki kilio kinaashiria uchungu wa kukosa/ kuyamisi mambo aliyokuwa anayafanya wakati akiwa bachelor/single au kulia kunaashiria magumu anayoenda kukutana nayo kwenye ndoa?? naomba msaada wa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom