Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,387
kuna kitu nashindwa kukielewa, nimebahatika kuhudhuria harusi kadhaa, mara nyingi wanawake na baadhi ya wanaume huwa wanalia either ile siku ya send off au siku yenyewe ya harusi, sasa hiki kilio kinaashiria uchungu wa kukosa/ kuyamisi mambo aliyokuwa anayafanya wakati akiwa bachelor/single au kulia kunaashiria magumu anayoenda kukutana nayo kwenye ndoa?? naomba msaada wa ufafanuzi