Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,487
"K ni K bwanaaa...........kamatia msambwandaaa".
Umbo hili vipi angevaa deraa angeonekana hiviMi sikubaliani na wewe. Kuna maumbo hata avae gunia shepi yake lazima itaonekana tu. Wanawake wa zamani walivaa kanga ila wa sikuizi wakivaa kanga ni shida.
Tatizo wasasa wanapendasana kufi.....Weka na wenye matumbo makubwa! mbona zamani mzazi anazaa hata watoto 8 tumbo lipo safi kama hajabahatika kupata mtoto
Mkuu daa, umepiga panapouma. Tusijegombana kweli. Shikamoo ChineseMkuu hayo ndo mahitaji muhimu ya sisi wanaume, naomba wawe wengi ili tusigombane.
Tatizo hawa wasasa wanapenda sana kuf.....Weka na wenye matumbo makubwa! mbona zamani mzazi anazaa hata watoto 8 tumbo lipo safi kama hajabahatika kupata mtoto
Madhara ya tsunamUmbo hili vipi angevaa deraa angeonekana hivi
Mkuu,,, hiyo shape naweza lala na njaa week Mzima!!! Namuhonga tuHivi ni kwanini wanawake wa maumbo ya hivi wanazidi kuongezeka karne ya sasa? Mbona wanawake wa zamani hawakuwa hivi?
Kwa baadhi ya makabila ambayo wanamaintain mila za kizamani ni vigumu sana kukuta wanawake wa ivyo. Mfano shep za ivyo kwa wamasai ni adimu sana.
Mdau basi tu ni kwasababu ya mavazi yao ila zipojee nyingi tena ile ya kienyeji kabisa. OG.Hivi ni kwanini wanawake wa maumbo ya hivi wanazidi kuongezeka karne ya sasa? Mbona wanawake wa zamani hawakuwa hivi?
Kwa baadhi ya makabila ambayo wanamaintain mila za kizamani ni vigumu sana kukuta wanawake wa ivyo. Mfano shep za ivyo kwa wamasai ni adimu sana.