Ni kwanini wanaume wengi siku hizi hawana sauti ndani ya mahusiano na pia ndani ya ndoa?

Sijui ni nini kimetokea lakini wanaume walio wengi siku hizi hawana kabisa mbele ya wanawake zao inafika hatua mwanaume anaendeshwa kama gali bovu

Yaani hata ile nguvu ya kumfokea mwanamke wake au kumuonya hana kabisa mwanamke ndo ana sauti ndani ya nyumba lakini pia hata ndani mahusiano wanaume wengi pia hawana sauti ule uwezo wa mwanaume akiongea kuwa na sauti haupoo.

Tatizo ni nini
Hawana nguvu za kiume, sauti waitowe wapi?
 
Siku hizi wanaume wanaathiriwa na mambo mengi mfano dini,shule za boys tupu,malezi ya single maza,sheria Kali zinazomlinda mwanamke,haki sawa kwa wote,50/50 nk sasa kwa hali hiyo tutegemee kuongezeka kwa wanaume dhaifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom