GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,874
Rejea zako tu hapo Kichwa cha Habari kisha anza 'Kutiririka' na 'Kuserereka' zako kulingana na 'Uzoefu' wako kama nawe hii hali imeshakukuta pia.
Same story, different people. Umeniandikia. umepita mule mule.Nilisha shuhudia kaka yangu alikuwepo ICU ila kuna siku aliongea na kusema mi nimepona tufanye utaratibu tuondoke,
Nakumbuka tulimwambia ukiendelea hivi tutatoka siku si nyingi...
Mshana Jr njoo uelezee hili maana wewe ndio mkuu wa walozi na wachawi wote ukanda huu wa Afrika Mashariki
Hali hiyo hutokea kwa watu wengi san, pindi wanapokalibia kufa hupitia hatua tano ambazo ni viashilia vya kifo kwa mtu, na hatua hiyo ni moja wapoRejea zako tu hapo Kichwa cha Habari kisha anza 'Kutiririka' na 'Kuserereka' zako kulingana na 'Uzoefu' wako kama nawe hii hali imeshakukuta pia.
So sadNilisha shuhudia kaka yangu alikuwepo ICU ila kuna siku aliongea na kusema mi nimepona tufanye utaratibu tuondoke,
Nakumbuka tulimwambia ukiendelea hivi tutatoka siku si nyingi...
Dah mpaka nimeogopaMi mwenyewe nina baba yangu mdogo huyo alikuwa anaugua home kipindi hicho nimerudi shule likizo, amekaa wiki ndani hata nje hawezi kutoka siku hiyo bna jamaa kwanza kumekucha tu akadai leo hapigii mswaki ndani ivo anataka kuota jua na kupiga mswaki nje basi tukamtoa na stool tena fresh anadema dema...
RIPWalio mahututi, huweza kupatana kwa amani na muumba wao. Mara nyingi hujaliwa pia kujua mwisho wa safari yao umekaribia kufika. Kwa sababu hizo, huwa wanakubali matokeo ya kuachana na dunia hii...