Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,631
Kwa baadhi niliokutana nao ( ambao nakiri hapa ) wazi wazi kuwa ni Marafiki zangu wazuri na wakubwa tu ila tokea Awamu hii ya Tano iingie Madarakani wengi Wao wamekuwa ni Waoga Waoga Kimuonekano na hata Hawajiamini tena huku hata mkiwa mmekaa nao tu mahala muda mwingi wanakuwa ni Watu wa Kuangaza angaza huku na kule halafu hawamuamini Mtu yoyote.
Je, ni Mimi tu Mzukulu pekee ndiyo nimeliona hili kwa hawa Wafanyakazi wa TRA au labda nanyi Wandugu mmeshakumbana nalo huko Makwenu?
Je, ni Mimi tu Mzukulu pekee ndiyo nimeliona hili kwa hawa Wafanyakazi wa TRA au labda nanyi Wandugu mmeshakumbana nalo huko Makwenu?