Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

The old rule of determining a socially-acceptable age difference in partners goes something like this: half your age plus seven (40 = 20 +7 = 27) to define the minimum age of a partner and your age minus seven times two (40 = 33 * 2 = 60) to define the maximum age of a partner.
 
Mi nakumbuka nikiwa na 30 kuna jamaa kunitongoza tu ikawa kama amejikoki,Katika mazungumzo ikabidi niingizie kaishu ketu,,,"home kujitambulisha utakuja lini?" Ghafla akapaliwa michips yai ikatoka nje baadhi zilinirukia.Nadhani alipaliwa tu,sidhani kwamba ni sababu ya kushtuka.
 
Tofauti na ladies wengi walio below 29 lakini ladies wengi ktk mahusiano akishafikisha age of 30 anataka akupeleke kwao akakutambulishe au ndoa tena mwingine ana force hatari bila hivyo hamuezi hata kuelewana.

Mimi ni mmoja kati ya watu ambao bi.mdada ananiforce niende kwao akanitambulishe.
Nenda ukamnusuru na Aibu ya kutoolewa hamna mapenzi hapo
 
Kwa walio wengi pindi wakifikisha huo umri tayari wanaanza kuonekana wa kawaida, kwa hiyo wanakua na wasiwasi kama ukimuacha itamchukua muda kumpata mtu mwingine, sasa ili kuzuia hio hali isitokee lazima aanze kukusumbua mfunge ndoa.

Lakini mtu wa age chini ya miaka 27 hawezi mara chache sana kuzungumzia masuala ya ndoa maana anajua hata mkiachana ni rahisi kupata mtu mwingine.

Mwisho kabisa kama unaona huyo anaekulazmisha mfunge ndoa ni mtu sahihi, nakushauri tu fanya hivyo maana ni jambo la kheri pia.
Well Said
 
Wanawake wa umri huo wanajitambua na wamepitia maisha.Sasa kama upo na mwanamke wa miaka 30 na anajua anachotaka kwanini umpotezee muda wake?

Lazima pia utambue biological clock ya mwanamke ni mfupi akishafika miaka 30 chances za kubeba ujauzito zinapungua na umri unavyozidi kwenda risks zinaongezeka!

Nasisitiza kama mwanamke huna malengo nae usimpotezee muda wake!
Point Kubwa Sana hii
 
Mi nakumbuka nikiwa na 30 kuna jamaa kunitongoza tu ikawa kama amejikoki,Katika mazungumzo ikabidi niingizie kaishu ketu,,,"home kujitambulisha utakuja lini?" Ghafla akapaliwa michips yai ikatoka nje baadhi zilinirukia.Nadhani alipaliwa tu,sidhani kwamba ni sababu ya kushtuka.
Ulimuweza😀
 
Back
Top Bottom