Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,039
Wanawake wa umri huo wanajitambua na wamepitia maisha.Sasa kama upo na mwanamke wa miaka 30 na anajua anachotaka kwanini umpotezee muda wake?
Lazima pia utambue biological clock ya mwanamke ni mfupi akishafika miaka 30 chances za kubeba ujauzito zinapungua na umri unavyozidi kwenda risks zinaongezeka!
Nasisitiza kama mwanamke huna malengo nae usimpotezee muda wake!
Yaani utamu tupate wote halafu mmoja ndio apotezewe muda hiyo sio haki kabisa