Ni kwanini vyuo hivi vinapigwa sana promo?Je kipi ni bora kuliko kingine?

Hapana mkuu sijapita NIT, na mwalimu nyerere ila nina wadau waliosoma pale na wengine bado wako pale.
.
DIT nimehudhuria mafunzo ya programming, KITM nilihudhuria mafunzo ya jioni kwenye kozi za CISCO, UCC ndipo niliposoma kabisa tawi la mlimani.
Mwaka gani umemaliza UCC tawi la Mlimani?
 
Taarifa za kuaminika UCC watabaki na matawi ya Dar (2) na Dodoma (1) yaliyobaki yote yanafungwa mwaka huu.

DIT mkazo wao ni engineering hivyo hata programs zao za CS na IT zinaweka mkazo wa ki injinia na uhitaji wao unakwenda sambamba na ule wa PCM form 5. Wanasema ni bora lakini kama hesabu wewe ni kama mimi afadhali uweke kando.
Kwahiyo nieende UCC au nisiende?
 
Chuo kizuri cha maswala ya technology Tanzania ni MUST peke yake!
.
DIT ni wastage of time kwa sasa mtu anasoma degree mwaka wa pili hajui hata kufanya wiring ya LAN.
.
NIT wako vizuri theoretically tu practical ni hovyo.
.
KITM ni kituko semester zao ni miezi mitatu mitatu mtu anamaliza diploma haelewi kamalizaje.
.
UCC ni pumba nyingine mjini kule posta wanapangwa sana watoto ni kelele mtindo mmoja wapo ghorofa ya kumi, cha mlimani ni mambute wote.
.
Mwalimu nyerere ni sawa na mpwapwa TTC
Daaaah kulaleki jamaa umeponda sana hahahshsh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hapo DIT kweli kabisa kile chuo kozi ya kompyuta na IT ni sifuri kabisa nimejionea hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna chuo kitakachokufanya uwe bora upande wa IT, zaidi ya kukupa basic ila ukitaka kuwa deep lazima utumie mda wako mwingi binafsi kusoma theories na practicals. IT ipo kama hesabu, mwl anaweza akawa vizuri lkn usipotumia muda wako kusolve maswali mengi utabaki kuwa shallow na ndio maana, watu wanaamini best IT ni wale walijisomea wenyewe kupitia video tutorial, vitabu na resources nyingine na wengi wanakuwa wapo dynamic na mabadiliko ya technology, sababu wana uwezo wakujifunza wenyewe.

Mf nina jamaa zangu wanagonga codes, languages kibao, Database wapo deep mpaka huko kwenye distributed database, system analysis. Hawajui hata hivyo vyuo zaidi tu wana degree za Computer science, software na telecom ila wanatumia mda wao binafsi kujisomea wenyewe (msuli yatima).
 
Hamna chuo kitakachokufanya uwe bora upande wa IT, zaidi ya kukupa basic ila ukitaka kuwa deep lazima utumie mda wako mwingi binafsi kusoma theories na practicals. IT ipo kama hesabu, mwl anaweza akawa vizuri lkn usipotumia muda wako kusolve maswali mengi utabaki kuwa shallow na ndio maana, watu wanaamini best IT ni wale walijisomea wenyewe kupitia video tutorial, vitabu na resources nyingine na wengi wanakuwa wapo dynamic na mabadiliko ya technology, sababu wana uwezo wakujifunza wenyewe.
Asante kwa ushauri mkuu
 
Madogo mlio kuwa na ndoto za kusoma university of Dar es saalam!!! bahati mbaya qualifications zenu zikawa ndogo! Huwa na washangaa sana mnavyojifanya mna kidisi hiki chuo pendwa. Acheni kulinganisha vyuo vyenu vya kata na chuo kikuu cha taifa.

Ova.
 
Hamna chuo kitakachokufanya uwe bora upande wa IT, zaidi ya kukupa basic ila ukitaka kuwa deep lazima utumie mda wako mwingi binafsi kusoma theories na practicals. IT ipo kama hesabu, mwl anaweza akawa vizuri lkn usipotumia muda wako kusolve maswali mengi utabaki kuwa shallow na ndio maana, watu wanaamini best IT ni wale walijisomea wenyewe kupitia video tutorial, vitabu na resources nyingine na wengi wanakuwa wapo dynamic na mabadiliko ya technology, sababu wana uwezo wakujifunza wenyewe.
Hili nimelisoma kwenye nyuzi nyingi hapa JF lakini naona kuna mapungufu fulani. Vyuo kama shule huwa na culture zao na hizo huchangia matokeo. Kama chuo kina culture nzuri ya kufundisha IT kwa mfano, kita sisitiza wanafunzi wake wawe na tabia fulani fulani hivi na kuhakikisha wanawarithisha hao wanafunzi hizo tabia na hii huchangia hayo matokeo. Hii haina maana individual efforts si muhimu la hasha ninachosema individual effort ikiwa harnessed vizuri na chuo tija huongezeka maradufu.
 
Sijakataa kwamba hamna umuhimu wa chuo sababu mimi mwenyewe nipo ktk industry hiyo hiyo ya IT na nakutana nao hao wa hivyo vyuo, ila walijisomea wenyewe wapo deep vibaya mno .

Hizi level za chuo lecturer anakupa basics, ila ww ndio kazi yako kuingia deep, ukifanya masiala level yako itaishia hapo hapo.

Leo huwezi amin mtu wa Networking anatakiwa ajue codes (python, perl, bash scripts nk), yy amezoea commands. Sababu ukiangalia course content ya CCNA R&S Kuna part ya Software Defined Network ambayo wameelezea jinsi codes zinazoweza kufanya network automation na ukitazama video za expert wa CISCO wameelezea umuhimu wa kujua codes kwa Network Engineer na administrator . Sasa kama ukiwa mtu wa kutojisomea manake upo nyuma ya mda. Kuna jamaa yangu alikuwa na degree ya Telecom na CCNA alikosa kazi Maisha Broadband sababu alikuwa hajui php language.

Wakati napiga final year projects nilikuwa najiona nipo vizuri upande wa code C++, lkn kupitia ile project nikagundua nipo shallow, ikabidinianze kuchimba mimi mwenyewe na wenzangu kama miezi minne hivi na wakati C++ nishafundishwa first year na ndio maana nikasema watu walijisomea wenyewe maswala ya wapo deep na wanaenda sambamba na mabadiliko ya technology, mimi nayaona haya kwa wenzangu na ndio wamenichochea mimi kujisomea mwenyewe.

As long upo na ya industry ya IT jijengee tabia ya kujisomea mwenyewe kwani IT inabadilika kwa kasi mno.
 
As long upo na ya industry ya IT jijengee tabia ya kujisomea mwenyewe kwani IT inabadilika kwa kasi mno.
Umeiweka vizuri. Unajua mkuu kuna vyuo vingi sana vya IT hasa ngazi ya certificate ambapo nafikiri kwa vijana wengi hasa wanaotoka form four direct bila kupata mwongozo mzuri wanaweza kupotea. Wasiwasi wangu ni hisia niliyonayo kwamba siyo vyote viko vizuri kiasi cha kuwaachia hawa vijana ili wawajengee utamaduni huu wa kujisomea na kujituma zaidi ya kufaulu tu. Kwa ngazi ya degree naamini vijana wana ufahamu zaidi ya nini kinatakiwa ili upate mafanikio.
 
Back
Top Bottom