Ni kwanini vyuo hivi vinapigwa sana promo?Je kipi ni bora kuliko kingine?

Chuo kizuri cha maswala ya technology Tanzania ni MUST peke yake!
.
DIT ni wastage of time kwa sasa mtu anasoma degree mwaka wa pili hajui hata kufanya wiring ya LAN.
.
NIT wako vizuri theoretically tu practical ni hovyo.
.
KITM ni kituko semester zao ni miezi mitatu mitatu mtu anamaliza diploma haelewi kamalizaje.
.
UCC ni pumba nyingine mjini kule posta wanapangwa sana watoto ni kelele mtindo mmoja wapo ghorofa ya kumi, cha mlimani ni mambute wote.
.
Mwalimu nyerere ni sawa na mpwapwa TTC
Unaweza ukapingwa ila umeongea ukweli mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom