Ni kwanini Vitabu vya Kiimani (Dini) vimepinga Mwanamke kuwa Kiongozi / Mtawala?

Na je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake?

Kwenye Kitabu cha Quran (cha Waislamu) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi katika Kitabu cha Biblia (cha Wakristo) aniwekee hapa.

Tuyaheshimu sana Maagizo ya Mungu!
Biblia imewapa wanawake uongozi mfano ni wakina Deborah aliyekuwa mwamuzi( judge) , Ester, n.k ata kipindi Cha Yesu ukiacha wanafunzi wake Kulikuwa na kikundi Cha wanawake waliokuwa na majukumu mbalimbali katika ziara za Yesu hao baadhi Yao ni wakina Veronica, Maria Magdalena, Elizabeth na kina Maria mama yake
 
Mwanamke ni dhaifu Sana.
Mungu alilijuwa hilo.

Mfano.
_Utamnunulia gari la thamani kubwa.
Atakuja kukusaliti kwa mwanaume anayemuwekea mafuta ya 6000.

-- utampa 20000 akale chips ,atakusaliti kwa mwanaume atakaye mnunulia soda ya 500.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Ila nyie mbona mnatudharau hivyo jamani?
Kweli soda ya jero....kweli?!! 😥 Labda kama mwanamke wako hakupendi!
 
Biblia haijakataza mwanamke...
Ila kwenye kutawala happy hatuna mifano ya mitume, manabii, watawala wote wa misri na Israeli hakuwahi kutokea mwanamke.
...
Nitachagia baadaye kwa urefu, ila soma...
Waamuzi 4:4
Neemia 6:
Kutoka 15:20
Luka 2:36
2Chronicles 34:
 
Kwa sababu madhaifu yao ni mengi kiasi cha kupelekea hatari kubwa wanapokuwa viongozi na hilo halina ubishi na asili ya mwanamke ni kuingozwa na mwanaume.
 
Mkumbuke kuwa mwanamke ndiye anaemiliki UTAMU WA DUNIA hivyo hayupo mwenye uwezo wa kusimamia hayo mawazo ya hivyo vitabu. Mtu anakabidhiwa msambwanda na sheria zote zinavunjwa hivi ninyi ni kitu gani hamjui? Hivi mliwaji jiuliza kwanini shetani alipitia kwa mwanamke?
 
Back
Top Bottom