MBWARI
JF-Expert Member
- Sep 8, 2021
- 460
- 712
Makafiri huwa hamna hoja zaidi ya matusi tuana akili sana...alijua mtume akisikia mke wake watu wanamjua akijisaidia bora atafanya mpango wanawake wote wafanane
Makafiri huwa hamna hoja zaidi ya matusi tuana akili sana...alijua mtume akisikia mke wake watu wanamjua akijisaidia bora atafanya mpango wanawake wote wafanane
Biblia imewapa wanawake uongozi mfano ni wakina Deborah aliyekuwa mwamuzi( judge) , Ester, n.k ata kipindi Cha Yesu ukiacha wanafunzi wake Kulikuwa na kikundi Cha wanawake waliokuwa na majukumu mbalimbali katika ziara za Yesu hao baadhi Yao ni wakina Veronica, Maria Magdalena, Elizabeth na kina Maria mama yakeNa je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake?
Kwenye Kitabu cha Quran (cha Waislamu) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi katika Kitabu cha Biblia (cha Wakristo) aniwekee hapa.
Tuyaheshimu sana Maagizo ya Mungu!
Ila nyie mbona mnatudharau hivyo jamani?Mwanamke ni dhaifu Sana.
Mungu alilijuwa hilo.
Mfano.
_Utamnunulia gari la thamani kubwa.
Atakuja kukusaliti kwa mwanaume anayemuwekea mafuta ya 6000.
-- utampa 20000 akale chips ,atakusaliti kwa mwanaume atakaye mnunulia soda ya 500.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Hiyo hiyo soda ya 500 unavunja uchumba wa mtu.Ila nyie mbona mnatudharau hivyo jamani?
Kweli soda ya jero....kweli?!! Labda kama mwanamke wako hakupendi!
Mkuu watu wanaruhusu ndoa za jinsia moja wana akili kweli watakuumiza kichwa tu hao fanya uoe mmoja hapo.Makafiri huwa hamna hoja zaidi ya matusi tu
Mwambie amalizie mpaka wa 15 sio mnachambua tu maandiko yanayowahusu.Cha ajabu wamejaa MADHABAUNI-MADHABAU
Timotheo wa kwanza 2: 11-12 na muendelezo wake
wewe kwa akili yako umona tusi lolote apo?? au kuna uongo wowote apo?Makafiri huwa hamna hoja zaidi ya matusi tu
Nitachagia baadaye kwa urefu, ila soma...Biblia haijakataza mwanamke...
Ila kwenye kutawala happy hatuna mifano ya mitume, manabii, watawala wote wa misri na Israeli hakuwahi kutokea mwanamke.
...