Duh!Tatizo pesa halafu wanawake wana gubu sana
Kuna rafiki yangu mmoja kaowa mwanamke mrembo sana kabarikiwa kila kitu ila siku wakigombana anamwambia jamaa mi ukiniacha leo naolewa na watu wenye hela wananitaka wengi tu.
Sasa kauli kama hizo hiyo amani au raha ya maisha utaipata wapi ndugu yangu
Vijana wa sasa wanaangalia chura tu mkuuNdo shida hii ya kuoa mabinti warembo oa mwanamke jembe mwenye kupiga kazi mwenye kujua kutafuta ela na mwenye upendo wadhati na ww na anaejua tunza familia mm na mke wangu tuna watoto7 naondokaga hm hata miezi 3cpo hm narud hm namkuta mke wangu vzr tuu anaongoza familia vzr tuu sina shaka nae mana tumetoka mbali na tunapendana na kuaminiana sana now nipo Dar yy yupo njombe na watoto ila maisha yanasonga.......
Kwa hiyo bikra ni muhimu
Tatizo pesa halafu wanawake wana gubu sana
Kuna rafiki yangu mmoja kaowa mwanamke mrembo sana kabarikiwa kila kitu ila siku wakigombana anamwambia jamaa mi ukiniacha leo naolewa na watu wenye hela wananitaka wengi tu.
Sasa kauli kama hizo hiyo amani au raha ya maisha utaipata wapi ndugu yangu
We mzeeUnapuuzia Bikra alafu uwe na Furahaa ndani ya ndoa? Sijawahi ona popote pale
Ha ha haa, mdomo bhana.Tatizo pesa halafu wanawake wana gubu sana
Kuna rafiki yangu mmoja kaowa mwanamke mrembo sana kabarikiwa kila kitu ila siku wakigombana anamwambia jamaa mi ukiniacha leo naolewa na watu wenye hela wananitaka wengi tu.
Sasa kauli kama hizo hiyo amani au raha ya maisha utaipata wapi ndugu yangu
Sio bwawa mkuuVibamia mkuu nafikir hyo ndo maoni yangu ya swali la kipiima joto