Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Ni ukweli usiopingika tangu uchaguzi umalizike wa mwaka 2015 licha ya upinzani kuongezeka kwa wabunge, madiwani na kupata ma mayor .
Vyama upinzani tangu uanze mwaka 2016 hadi leo hii vyama vya upinzani kila itwapo leo vinazidi kupoteza mwelekeo wa kisiasa lakini pia mvuto kwa wananchi leo hii asilimia 70 ya wananchi hawana tena mpango wa kushabikia vyama vya upinzani either CHADEMA au CUF.
Ukitaka kujua hilo hebu rudi nyuma katika operations ukuta na kata funua kwa hapa dar kiukweli tangu isikike ilibaki kuishia magazetini na vyombo vya habali lakini mitaani haipo.
Leo hii upinzani tunaingia katika uchaguzi wa udiwani kata 22 ukiangalia CUF na CHADEMA na NCCR na nld bado wamesimamisha wagombea pamoja na wanajiita ukawa eti wanashirikiana .
Kiukweli upinzani mjitadhimini huko tuendako mtakuja kupata aibu kubwa maana huko tuendako itafika hatua watu hawatapiga kura upinzani maana upinzani hauaminikii