nguzo1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 347
- 530
Hapo Pangadeco, Pangani mjini hadi usawa wa Boza junction kote huku patakuja funikwa na maji ya bahari ndani ya miaka kumi ijayo.Maeneo gani, bei zinategemea na eneo.
Kwa Pangadeco, Bweni,Kikokwe na Ushongo bei utayotajiwa inaelekea na viwanja vya Dar.
Kama pesa ipo unaweza ukawavua mpaka wazungu/waswahili wenye maeneo Ushongo Beach club.
Hilo eneo lote ni water Logged na mvua ikinyesha kidogo tu ardhi inashiba maji ndani ya masaa machache.
Sehemu salama( High altitude area) ni kwanzia huku kwa Mkuu wa wilaya, Tongoni,Kigombe hadi Tanga au Maeneo ya Mwera, kipumbwi ,makorora na mkwaja.