miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,414
- 10,970
At first nilikua sijui kama ni gharama hivi. Atleast sasa naelewa ni kwanini si kila mtu anamiliki ghorofasijataja mtu mkuu
At first nilikua sijui kama ni gharama hivi. Atleast sasa naelewa ni kwanini si kila mtu anamiliki ghorofasijataja mtu mkuu
Sawa Ila katika hiyo trade kuna kitu kinapungua. Nacho ni uwezo wa kubeba mzigo. Labda hilo lingetajwa ingejulikana kwanini watu siku hizi hawachagui hiyo approach au engineers hawaitumii design hii kwa sana.Kwenye framed structure approach, Nguzo ndio hubeba Axial Load
na
Kwwnye Load bearing wall approach, ukuta ndio unaobeba Axial load.
Beams na slab zinabeba Bending moments na Shear forces (kitu tofauti kabisa)
Kwa hiyo unaweza swap nguzo na ukuta kwa sababu zote zinabeba aina moja ya load ambayo Ni Axial Load.
Na Uki swap nguzo kwa ukuta, slab na beams zitabaki palepale
Hiyo njia ya load bearing wall structurally ni salama kabisa. Kilichopelekea isitumike saana ni kitu kimoja tu. Ni ngumu saana kufanya "Refabrishment" kwenye majengo ya aina hii. Unajua kwa kawaida majengo kwa nyakati nyingine yanahitaji Maintenance, Renovation na Refabrishment . Sasa Maintenance na Renovation unaweza kuyafanyia bila shida ila Refabrishment ni ngumu.Sawa Ila katika hiyo trade kuna kitu kinapungua. Nacho ni uwezo wa kubeba mzigo. Labda hilo lingetajwa ingejulikana kwanini watu siku hizi hawachagui hiyo approach au engineers hawaitumii design hii kwa sana.
All in all, kwa kawaida na kwa asilimia nyingi sana, framed ndiyo hutumika na ni gharama zaidi na less risky.
Thanks, Ila sidhani kama risk imeelezewa. Ni kama umekwepa kuimention.
Kwa ajili ya usalama wanguWazungu walijenga nyumba za ghorofa kutokana na uhaba wa ardhi kwao. Nimekutana na Wafrika Magharibi pia mawazo yao ni ya kujenga ma ghorofa. Nikipowauliza sababu waliniambia kwao ardhi ni ghali sana. Kupata kiwanja cha kujenga nyumba inakulazimu uwe na kuanzia milioni 20 kwa pesa ya Tanzania. Wanasema ukijenga ghorofa hukosi mpangaji na wewe unapata na sehemu yako ya kuishi kwa amani.
Wengine wanasema wanajenga ghorofa kuyaona matunda ya mafanikio yake kwa macho. Sasa ninajiuliza sisi ardhi tunayo kubwa sana. Mpaka sasa bei ya kiwanja ni wastaniwa milioni tano mijini. Ni kwanini unawaza kujenga ghorofa kama una wazo hilo au ni kwanini ulijenga ghorofa?
Kwa ajili ya usalama wangu
Chumba chako kitakuwa juu. Haiwezekani akapuliza dawa ya usingizi dirishani kwako. Aidha hawezi kuloba simu au nguo toka chumbani kwako.Kwa vipi?
Dadavua wengine tupate kujifunza!
Chumba chako kitakuwa juu. Haiwezekani akapuliza dawa ya usingizi dirishani kwako. Aidha hawezi kuloba simu au nguo toka chumbani kwako.
Pangani maeneo yakaribu na bahari saizi bei ipo juu iwe Pangani mjini, Bweni, Mwera. Kuna watu wameisha wavua viwanja wenyeji.Wengine tunawahi mwambao wa bahari kuelekea Pangani maana mpaka Bagamoyo kuko full
Hata huko Tongoni eneo la karibu na bahari uwezi kupata Kwa bei ndogo. Ukanda huo watu wamekuwa wajanja kama eneo hajauza basi utatajiwa bei kubwa.Hata Tongoni vimeshachukuliwa?
Kwa ukanda wa bahari wajanja wanaanzia bei gani?Hata huko Tongoni eneo la karibu na bahari uwezi kupata Kwa bei ndogo. Ukanda huo watu wamekuwa wajanja kama eneo hajauza basi utatajiwa bei kubwa.
Kuna raia wamechukua maeneo huko ukanda huo wa bahari wanasubiri kufanya Yao.
Siku hizi kuna simple lift kutoka Uturuki. Imerahisisha sana maisha kwa wazee na wagonjwa.Mama yangu alikuwa anatamani sana. So niliamua kujenga japo ni simple tu ili aishi huko juu. Bahati mbaya amezeeka so ikambidi aishi ground floor. Lakini anafurahi tu kuliona 😂
Maeneo gani, bei zinategemea na eneo.Kwa ukanda wa bahari wajanja wanaanzia bei gani?
Nguzo 11? Ndio maana!Mie miwili iliyopita nilisimamia ujenzi wa jengo la ghorofa 1, liko Mwandege mkuranga. Ina vyumba vi4 na nguzo 11, Kama sikosei msingi haukuzidi 14,000,000 . Sasa huo msingi wa 45,000,000 Duh!!!!!!!, Anyway labda material yanatoka California
Idadi ya nguzo inapatikana kwa kutegemea na design ya jengo lilivyo pamoja na Engineer alivyogawanya uzito. Kwa hiyo huwezi amua unahitaji nguzo 8,11 au 20 bila structural design/drawingsNguzo 11? Ndio maana!