Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,480
- 30,152
- Thread starter
- #181
Kumbe unakiri kuwa CCTV kuwa huenda ziilikuwa mbovu!CCTV Camera zinaweza wikawa zimetolewa na askari, lakini tunajuaje kama wilikuwa zinafanyakazi? Mara ngapi tunaona Camera zipo lakini zimeharibika na inachukua muda mrefu kuziactivate? Mbona ni jambo la kawaida hilo? Na Hata kama ni mzima unajuaje kama picha zilizotoka hazikuwa very clear kiasi ambcho Polisi kushindwa kufahamu ni nani jambazi aliyehusika kwenye tukio hilo? Kuna theory nyingi tu. Pia inawezekana polisi wanainformation nyingi wamepata kutoka kwenye hizo CCTV camera lakini bado wanacollect data. Ni bora wafanye invstigation zao kwa makini kuliko kukurupuka tu ili kuwafurahisha watu. Tuwe na Subira. Polisi wanafanya kazi nzuri mara nyingi.
Sasa swali tualojiuliza ni kwa vipi hizo CCTV ziharibike mars tu iiljpotokea hilo tukio??
Kweli imenenwa MWISHO WA UBAYA AIBU na siku ya kufa Nyani miti yote huteleza!