Ni kwanini rafiki zako uliosoma nao has a chuo hawapendi kuona una tumaendeleo kidogo kuliko wao?

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
373
615
Mi ni muhitimu wa chuo maarufu tu kilichopo Dar es Salaam,nilihitimu mwaka 2014,sasa baada ya kuhitimu nikawa ninaishi na washkaji geto huku wao wakishinda zoom Tanzania kutafuta kazi kwa udi na uvumba,ila Mimi nilikuwa silichukulii sana maanani suala la kutafuta kazi,sababu kiukweli sikuwa nataka kuajiriwa.

Baada ya muda wakapata kazi za sales kwa wachina,mshahara laki tatu,kutoka asubuhi hadi jioni. Baada ya kuona masimango yanazidi nikaamua niende zangu mkoa,nikapambana huku kama unavojua kama ipo ipo tu popote ulipo.Nikakomaa nikabahatika kununua nyumba na usafiri.

Sasa kuna siku mshikaji sijui aliona picha nipo kwenye ndinga,akaniuliza nikamwambia ni kweli gari yangu,akasema nimtumie watsup picha nikamtumia. Toka siku hiyo hapokei simu yangu,wala kusema chochote na hapo hajui kama nna nyumba pia.

Nilichojifunza binadam atajifanya anakusaidia ila anapenda uwe chini yake, siku ukionyesha kumpita hatafurahi kamwe, don't trust any one more than your parent's, sasa wamenitia hasira ya kupigana kuliko mwanzo
 
They want partners in sufferance .

Nawewe upo hivyo?
 
Riziki mwanzo wa chuki.
 
Dhana ni jambo baya vitabu vya dini vinatukataza
Yawezekana rafiki katingwa
 
Back
Top Bottom