Ni kwanini Nyerere, Mandela, viongozi baadhi wa Africa hawakuwahi kusifiwa na wazungu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kwanini Nyerere, Mandela, viongozi baadhi wa Africa hawakuwahi kusifiwa na wazungu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, Jun 15, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Ukiona Kiongozi wa Nchi za kiafrica anasifiwa na wazungu basi tambua sana mambo mengi sana anayo fanya ni ya kuwa furahisha wazungu hao.
  Nitaoa mfano. NA NDO ILIVYO KWA TZ NA VIONGOZI WETU WA NCHI. MENGI ANAYO FANYA NI YA KUWAFURAHISHA WAO.

  TUTAMBUE MOJA KWAMBA MZUNGU HATA SIKU MOJA HAWEZI KUISIFU NCHI KAMA HANA ANACHO GAINI HUKO, NEVER

  1. Kwa nini mugabe hasifiwi, kwa sababu alichukua mashamba ya wazungu na kuwapa wazalendo

  2. Ulisha wahi kusikia mtu kama zuma anasifiwa au south africa inasifiwa? Jiulize ni kwa nini

  3. Gadafi mwenyewe alikuwa hawaabudu wazungu that is why wameamua kumpiga

  4.Nyerere hakuwahi kusifiwa na wazungu hata siku moja na kipindi chake Tanzania haikusifiwa hata day moja

  6. Mandela hajawahi sifiwa na wazungu akiwa raisi wameanza kumsifu akiwa amestaafu

  7. KWA NINI HAO WAZUNGU WASIISIFU CHINA KWA KUWA MSHIRIKA WAO KATIKA BIASHARA?

  8 NI WAPI ULIONA RAISI WA MOJA WAPO WA NCHI ZA KIZUNGU ANASIFIA NCHI NYINGINE YA KIZUNGU? MFANO UJERUMANI IISIFU UFARANSA AU ITALY IISIFU URENO, NEVER

  HUKU KUSIFIA NCHI ZA KIAFRICA TENA BAADHI NI UCHURO NA MADHARAU MAKUBWA SANA. CC TUNAONA NI SIFA KUBWA SANA. HAWSIFIAGI BILA WAO KUUNEMEKA, NGOJA GADAFI AONDOKE MUONE WATAKAVYO ANZA KUISIFIA LIBYA.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Gadaff ni mshenzi anawapa askari VIAGRA ili wabake wapinzani?


  Mbona unataka sana kusifiwa na wazungu kwani wao Mungu?
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Ni kwamba kuna mtu mmoja alianzisha maada akasema kusifiwa kwa kiongozi na wazungu ni ujiko. nataka tu kuelezea wazungu kwa nini hawakuwahi msfia Nyerer waje wamsifie kikwete?

  Wazungu hawasifiagi bila gaini
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Halafu anachonishangaza Rais wetu sijamuona akifanya ziara Japan, maana mimi naamini wale ndio marafiki zetu wa kweli, jamani mnaopanga ziara za rais mpekeni Japan, au kule kwa sababu hakuna tabia ya 10% ndio maana hampendi kwenda huko?
  Salva Rweyemamu najuwa upo humu JF ebu jibu hii hoja.
   
 5. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazungu sio kama walikuwa hawawasisifii ila walikuwa hawapi sifa hadharani angalia ile hotuba ya nyerere ya mwaka 1949 kule UNO Jk Nyerere alihotubia takriban masaa 2 non stop wenyewe walikubali na ukapewa uhuru 1961 sifa zipo bwana mdogo!!
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Je unauhakika na unacho kinena?
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sababu za kutosifiwa mböna ushasema. Hivi lakini kwani mtu akikusifia unapata faida gani? Kwanini uulize wazungu kusifia viongozi wetu wa africa, kwani hawa viöngozi wetu waafrica wenyewe kwa wenyewe huwa wanasifiana kweli?
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  na sisi JK atugawie viagra tuanze kutifuana kwenye madaladala kulaleki..yaani posta -mwenge njia nzima vilio tu kulaleki yaani mpaka daladala linatingishika..unafanya mchezo nini
   
Loading...