Ni kwanini Mwanamke akiwa katika Shock yoyote tu ile ni lazima ataanza Kublidi?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Nini husababisha hii hali kwani sijaanza Kukutana nayo juzi, jana au leo kutoka kwa Wanawake ambao huwa nakutana nao hasa katika Matukio ambayo muda mwingine huleta Mshtuko kama Ajali au Taarifa za Misiba.

Na kuna Mmoja nakumbuka akiwa Kanisani kabisa kwa Kutokuamini kuwa Siku hiyo alikuwa anaolewa Kweli nae hali hii ilimtokea japo Wasaidizi walijaribu Kumuokoa.
 
kumbe hii hali huwapata wanawake wengi eeh? Mimi nlidhan mke wangu ni dhaifu mana ukimpa taarifa ya mshtuko lazma aanze kubleed
 
Back
Top Bottom