Ni kwanini Magufuli hawezi kuua upinzani (CHADEMA na CUF) hizi hapa sababu

Sijaona mahala wala clip inayosema anataka kuua upinzani, kasema siasa za majukwaani hadi uchaguzi ujao. Sasa ni hapakazi tu!! Sasa mnabishaa? Tusubiri 2020 mtatoa matusi yote maana ndio wakati wake namtu hataenda kolokoloni
 
Hapana, Labda huelewi tofauti ya ideology na Maazimio

Ideology ya Chadema ni ipi Kwa sasa? ... au ni kuwatoa CCM Mafisadi Na Wauaji Madarakani ...?

Yaan Kwa kifupi CCM na leadership style Yao ndio unaipa Chadema hoja Na agenda Na Sio kuwa Chadema huwa Na agenda
Wakati wa Kikwete Na Utawala Wao wa Kijanja janja football club ajenda ya Chadema ilikuwa Ufisadi

Utawala wa Magufuli Na style Yao ya ubabe agenda ya Chadema imekuwa kupinga Udikteta
Ideology ya vyama vyetu vya siasa

Vyama vyetu vina ideology kweli? Tunasikia CCM ni wajamaa je wanauishi huo ujamaa? Pia CHADEMA ni mabepari - je matendo yao na sera zao zinaendana na hayo? Kwangu mimi wote wanatafuta fursa bila kuzingatia issue ya ideology. Na sababu kubwa ni kuwa wapiga kura wengi hii si issue kwao. Nafikiri wote wanafuata popularism.
 
Na Kama hatuna ideology tusiwe wepesi wa kukurupuka Na kurushia Picha za Waandamanaji wa Misri tukidhan wamekusanywa Na wakakusanyika vile kiwepesi wepesi Kama tunavyoota, unatupia Picha Na clips za Askar wanapiga Watu ukadhan ndio utaweza kukusanya Watu million 2 waandamane

Said Kutubi Mmoja wa Waasisi wa Muslim Brotherhood baada ya kukamatwa Na kushtakiwa Kwa Uchochezi Na ghasia Nchini mwake alipopatikana Na hatia ya kunyongwa alipewa sharti la kusamehewa kuwa akaishi Libya Na Libya wakakubali kum host

Yeye alikataa akachagua bora anyongwe kuliko kwenda kutulia Libya akishuhudia asiyoyaamini Na kuyakubali Na kweli wakamnyonga

hii ndio Ideology kupigania ambacho Wewe binafsi unakiamini Na Wafuasi wako wakikuona Na kuku sikiliza waamini huo Msimamo wako unatoka Moyoni. Ikifika stage hiyo basi unaweza ukaingiza watu Barabarani Na wakawakabili polisi
 
Kumbe mtu mwenyewe unatokea Geita halafu unatoka povu kwa ajili ya chadema? wenyewe wa KLM wanakuangalia tu kukucheka kwa ujinga uliokujaa, kupigamia kisicho chako!
Siasa chafu hizi za ukabila na ukanda .kifupi umepitwa na wakati .ushamba na ulembukeni unakusumbua wewe na Dr wako wa kemia .shame on you all
 
Mie nimezungumzia Chadema Kama case study

Chama chochote Cha Upinzani jambo la msingi ni kutengeneza ideology na brand kabla ya kukimbilia Ikulu

Islamic brotherhood walianzisha Chama chao 1922 wakaja kupata Madaraka baada ya Miaka zaid ya 80

ANC ilianza 1912 wakaja kupata Madaraka 1994

Pamoja Na madhaifu Yao Bado hivi vyama vina brand Na ideology Leo hii nikikuuliza brand Au ideology ya Chadema ni ipi utasema ipi?

Angalia Kenya walipoiangusha KANU wakapata Madaraka kabla ya kuwa Na vyama mbadala vyenye nguvu Leo hii Kenya Siasa zao ni za Mtu Mmoja Mmoja Sio vyama

Kwa hapa TZ hasa upande wa Upinzani angalau CUF Tena upande wa Znz ndio unaweza ukasema wana ideology Au brand kiasi kwamba Kwa zaid ya Miaka 25 Madai Na hoja zao ziko straight forward regardless Nani anatawala
Anc chama cha kupigania Uhuru .Brother hood chama cha kupigania kutoa utawala wa kijeshi na kuweka utawala wa kiislam .Hamas chama cha kupigania kuweka utawala wa kiislam .Plo chama cha kupigania uwepo wa taifa kidemokrasia la Palestine .ni mezenia gani umetumia kuvilinganisha na chama cha Chadema? Chadema chama cha kupigania uarakishwaji wa maendeleo ya wananchi .kwenye nchi Uhuru ya democrasia ya Tanzania .unalinganisha nini hapa !!?? Jibu ni ujui unacho changia bora ungenyamaza .shame on you
 
Na nyie Chadema muache uchaga kwanza.
Haiwezekani kila mkoa mgombea ni mchaga wakati mkoani kweni huwezi kuta kabila lingine
Tena makabila mnawaita WAKIASAKA.
 
Na nyie Chadema muache uchaga kwanza.
Haiwezekani kila mkoa mgombea ni mchaga wakati mkoani kweni huwezi kuta kabila lingine
Tena makabila mnawaita WAKIASAKA.
Hizi shule za kata tunaanza ona adhari zake sasa.mfano ni mchangiaji huyu.shule msingi,sekondari,high na siajabu na chuo .Ametoka kwa mara ya kwanza huyu hapa JF .unatia aibu
 
Hizi shule za kata tunaanza ona adhari zake sasa.mfano ni mchangiaji huyu.shule msingi,sekondari,high na siajabu na chuo .Ametoka kwa mara ya kwanza huyu hapa JF .unatia aibu
Chuma kimekuingia vizur. Chadema Jirekebisheni ili tuwaamini.
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
Out out out pogba
 
Jirekebisheni hapo pana shida. Me pia natamani mabadiliko ila mjirekebishe jamani. Kwani unabisha nini.
 
Na Kama hatuna ideology tusiwe wepesi wa kukurupuka Na kurushia Picha za Waandamanaji wa Misri tukidhan wamekusanywa Na wakakusanyika vile kiwepesi wepesi Kama tunavyoota, unatupia Picha Na clips za Askar wanapiga Watu ukadhan ndio utaweza kukusanya Watu million 2 waandamane

Said Kutubi Mmoja wa Waasisi wa Muslim Brotherhood baada ya kukamatwa Na kushtakiwa Kwa Uchochezi Na ghasia Nchini mwake alipopatikana Na hatia ya kunyongwa alipewa sharti la kusamehewa kuwa akaishi Libya Na Libya wakakubali kum host

Yeye alikataa akachagua bora anyongwe kuliko kwenda kutulia Libya akishuhudia asiyoyaamini Na kuyakubali Na kweli wakamnyonga

hii ndio Ideology kupigania ambacho Wewe binafsi unakiamini Na Wafuasi wako wakikuona Na kuku sikiliza waamini huo Msimamo wako unatoka Moyoni. Ikifika stage hiyo basi unaweza ukaingiza watu Barabarani Na wakawakabili polisi
Bw. Pohamba Tunisia na kwingine hakukuwa na ideology yoyote iliyowakusanya watu barabarani. Matukio/matendo fulani yaweza kuwapelekea watu kuandama wakipinga kilichotokea (au hata kuunga mkono).
 
Moshi huwezi kuta kabila lingine linatawala zaidi ya wachaga. Mbona nyie mnataka kutawala majimbo mengine. Hata kama ccm ni mbaya ila hizi dharau zenu zinatushtua.
 
CUF ishawashinda; CDM ndiyo kabisaa; watu wameipenda wenyewe; yaani wanashuka 4 wanapanda 500. CDM hadi raha.
 
Upinzani ukifa vita yaweza tokea..Upinzani ni sehemu ya kubainisha mapungufu ya Watawala ili wafanye Mageuzi ya Utendaji..Siasa sio mchezo kwa hiyo haiitji kushabikia Bali uchambuzi..
 
Back
Top Bottom