Ni kwanini kiswahili cha Mtwara kiko tofauti na kiswahili cha kawaida?

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,606
2,000
Heshima zenu wadau zangu,

Kwa sasa nipo mkoani Mtwara ila kinachonishangaza katika huu mkoa.

Ni aina ya lugha ya kiswahili kiko tofauti ninachokijuaa yaani wakati sisi tunapaita Mtwara wao wanaita Ntwara, mtu wao wanasema 'ntuu'.

Sikubali wao ni 'chikubali' au sielewi wao wanasema 'chielewi' hayo ni baadhi ya maneno ninavyowasikia wenyeji wangu wakiongea ila kubwa ni kwanimi kiswahili chao kipo tofauti na kile cha kawaida?.
 
kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,234
2,000
Ebana heshima zenu wadau zangu kwa sasa nipo mkoani mtwara ila kinachonishangaza katika huu mkoa .

Ni aina ya lugha ya kiswahili kiko tofaiti ninachokijuaa yaani wakati sisi tunapaita mtwara wao wanaita ntwara , mtu wao wanasema ntuu,

Sikubali wao ni chikubali au sielewi wao wanasema chielewi hayo ni baadhi ya maneno ninavyowasikia wenyeji wangu wakiongea ila issue
Kubwa ni kwanimi kiswahili chao kipo tofauti na kile cha kawaida
SIO WATANZANIA WALE NI WATU WA MSUMBIJI TUNAWAVUMILIA TU!
 
nadry

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
592
1,000
Lugha zao asili ndizo zinaleta athari au wazungu wanasema mothertongue
 
Tabash yamashta

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
274
250
Ebana heshima zenu wadau zangu kwa sasa nipo mkoani mtwara ila kinachonishangaza katika huu mkoa .

Ni aina ya lugha ya kiswahili kiko tofaiti ninachokijuaa yaani wakati sisi tunapaita mtwara wao wanaita ntwara , mtu wao wanasema ntuu,

Sikubali wao ni chikubali au sielewi wao wanasema chielewi hayo ni baadhi ya maneno ninavyowasikia wenyeji wangu wakiongea ila issue
Kubwa ni kwanimi kiswahili chao kipo tofauti na kile cha kawaida
Tatizo lipo kwako mtoa Uzi, Hukutembea mikoa mbalimbali, Mwanza nao wana kiswahili chao, Arusha,Dar, Sumbawanga,Mbeya,Musssoma,Tanga, nk.,, Kiujumla tembea Uyaone Na ujifunze mengi, Singida pia Hali kadhalika. Hii imetokana na matabaka ya Makabila yalioko Nchini, Pia kumbuka tatizo Kubwa zaidi lililo Pelekea watu kuwa na viswahili visivyo fanana, kumechangiwa sana na Kutopatiwa Elim mapema, watz walidumu ktk Lugha zao za Asili, Hili tatizo pia serekali ya ccm inapaswa kulaumia sana Kw kuwanyima watz Elim tangu mapema, Hivyo taifa limekuwa na watu wasiejuwa kiswahili ,,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom