Ni kwanini kila wasifu wa Marehemu hauna mabaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kwanini kila wasifu wa Marehemu hauna mabaya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Superman, Jun 30, 2009.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Sijui kama ni mimi tu ama kuna wengine wamewahi kuhudhuria mazishi ambapo wasifu wa marehemu pia unasomwa . . .

  - Hata kama marehemu alikuwa akitenda maovu ya wazi katika jamii, wasifu wake ukisomwa ni mzuri na wa kumsifia.

  - Sijawahi kusikia wasifu usomwapo ukawa unaelezea hali halisi ya Marehemu hasa hasa the negative side.

  Hivi Wadau ni kwa nini hasa? Kuna tatizo gani ukweli halisi ukielezwa?

  Sijawahi kusikia wasifu wa Wanandoa Unasomwa wakati wa harusi? Je ni lazima wasifu usomwe tu mtu anapokufa au anapotunukiwa kitu?
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  siyo marehemu wote...ona mfano wa MJ!....kuna wengine talk good about him and some bad.....all this time watu hawajawahi kuongea kuhusu sexual life yake sasa wameshaanz aooh amekufa bado bikira....mara ooh MJ ametoa bikira ya nyuma...or he was gay....this and that.....dang!....wamuache mkaka wa watu a rest in peace jamani eeh.....

  anyways nipo out of topic ila ijumaa ndiyo siku ya public last respect at netherland ranch!......Nakwenda!...
   
 3. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ndo maana ukaitwa WASIFU
   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ingawa Historia iliyoandikwa hapa huenda ilikuwa ni ya utani. Je, what if Marehemu kweli alikuwa hivyo?

   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Dada Kelly swali ni kwa nini marehemu haongelewi vibaya kwenye wasifu. Kwa kiingereza unaitwa eulogy. Wewe umeshawahi kusikia mtu akisemwa vibaya kwenye eulogy?
   
 6. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ndiyo kama Mwana f nimeshawahi kusikia!......
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwenye eulogy? O.k. if you say so......siwezi kukubishia.
   
 8. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  yes kwenye EUROLOGY!....hiyohiyo...afadhali usiendelee kubishana maana hatutaafikiana...you know when me and you tukanza ku argue...inakuwa never ending argument!......
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  MwanaFA na Kelly;

  Isije ikawa mimi ndiyo nimewachanganya . . . Actually what I meant, Historia ya marehemu inaposomwa, hakuna sehemu inayosema uhalisia wa Marehemu kama alikuwa na negative side?
   
 10. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Eurology? Eulogy? Au ni namna yenu....?
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu historia ya marehemu ndiyo huo wasifu au eulogy. Ndiyo maana nikamueleza kelly nikadhani labda neno hajui kwa kiswahili atajua kwa kiingereza. Sasa mimi sijawahi kusikia marehemu akisemwa vibaya kwenye wasifu yeye ana insist kasikia ndiyo maana nikamuambia sawa siwezi kukubishia.
   
 12. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kachapia bana ni eulogy.
   
 13. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Dada Kelly sasa hapo umenifanya nifikiri haujui hata maana ya hilo neno eulogy haha maana spelling umesha chapia tena kwa msisitizo wa capital letters. Just to make sure we are on the same page, eulogy ni nini? Isije ikawa tuna tofautiana maana ya hilo neno.
   
 14. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh teh teh....sijawahi kusikia negatives ktk eulogy. Negatives husemwa msibani kiumbeaumbea vile. Sijui kwa nini. I'm interested to know wajameni...
   
 15. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hahaha ndiyo maana na mimi namhoji. Kwenye moja ya post hapo nimemuuliza nini maana ya eulogy maana isije ikawa mwenzangu anadhani kitu kingine tofauti kabisa. Ila mimi sijawahi kusikia msibani mtu kapewa kusoma wasifu akaanza kusema neno lolote baya kuhusu marehemu. Ila ngoja atueleze mwenyewe huwezi jua.
   
 16. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kelly,

  Mwaga bac ze dataz jamani....nipate mpya kama mambo ya Brazilian wax jamani...
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwanaf Kuchapia ni muhimu sana...na wala sioni big deal kwenye kuchapia na pili mtu akichapia siyo kwamba ndiyo hajui anachoongea.....usitake kusema kwenye maisha yako yote hujawahi kuchapia...hakuna mtu asiyechapia duniani humu...tena mimi ndiyo number one mchapiaji....and i am proud of it...na wala siyo klazima nikuthibithishe kuwa nimechapia....aas long as umeelewa maana yeke...so whats the big deal?.......

  kwa nini hukuwa mwalimu?....
   
 18. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kaniki akina john kisomo wako kuangalia makosa madogo madogo sana hapa jf!...i call those kind of people wierd!.....gadammit!
   
 19. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yeah, kuchapia kila mtu bana...
   
 20. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  That's what's up!....wanataka mtu aandike kama vile anaandika thesis!....wangekuwa wanatoa pesa kwenye issue kama hizo...ningekuwa perfecto!.....you know!.....

  brazilian inabidi uludi kwenye topic kule!....hapa wata-kumind...
   
Loading...