kolelela
Senior Member
- Sep 2, 2013
- 173
- 33
kiukweli kwasiku za karibuni nimegundua kuwa jk anamachale mara nyingi kikinuka bungeni hayupo nazani na hili ataambiwa
Sijaelewa kuwa akiwepo Jk nchini wabunge na hata viongozi wa chama huwa kimya?
Cha ajabu akitoa mguu tu ndio mara waziri mkuu ajiuzuru mara katibu mkuu hafai mara waziri flani mzigo.
Kwa mfano ya Jairo mpaka leo kimya,
Saini za Zitto kwa Waziri mkuu, wakina karamagi nk