Ni kwanini JK akisafiri Bunge na serikali ndio mambo yanaibuka ya kupinduwa viongozi

Utajiju!!! bado kuna mawaziri kibao mizigo na huyo aliyewateua ndio mzigo mkubwa kuliko wote. Fukuza naye!!!

Vipi mzee wa Gongo jina linamstahili au tumuite mzee wa ndonga
 
Kwa kweli huyu jamaa ni mzandiki. Anajua kuwachoma wenzake visu mgongoni akijifanya hayuko na si yeye aliyeusika. Hii tabia ya 'kuua nyani' si sifa ya kiongozi jasiri. He is supposed to face the problems squarely!
 
Back
Top Bottom