Ni kwanini JK akisafiri Bunge na serikali ndio mambo yanaibuka ya kupinduwa viongozi

kolelela

Senior Member
Sep 2, 2013
173
195
kiukweli kwasiku za karibuni nimegundua kuwa jk anamachale mara nyingi kikinuka bungeni hayupo nazani na hili ataambiwa

Sijaelewa kuwa akiwepo Jk nchini wabunge na hata viongozi wa chama huwa kimya?

Cha ajabu akitoa mguu tu ndio mara waziri mkuu ajiuzuru mara katibu mkuu hafai mara waziri flani mzigo.

Kwa mfano ya Jairo mpaka leo kimya,
Saini za Zitto kwa Waziri mkuu, wakina karamagi nk
 
kolelela

Senior Member
Sep 2, 2013
173
195
Sio machale mkuu...kawaida huwa yupo nje ya nchi....mara chache yupo ndani...hii yote wananchi "tusife njaa"....baba anatafuta.

kaka mbona akiondokaga yeye kinanuka unakumba issu ya katiba bunge lilopita
 
Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,571
2,000
Sijaelewa kuwa akiwepo Jk nchini wabunge na hata viongozi wa chama huwa kimya?

Cha ajabu akitoa mguu tu ndio mara waziri mkuu ajiuzuru mara katibu mkuu hafai mara waziri flani mzigo.

Kwa mfano ya Jairo mpaka leo kimya,
Saini za Zitto kwa Waziri mkuu, wakina karamagi nk
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
17,044
2,000
Ni kwanini kila wakati mawaziri mizigo wakikabwa koo Rais Kikwete anakuwa yuko nje ya nchi?

Mtakumbuka kipindi mawaziri wale wanane (Mkulo, Ngeleja, Maige, Mponda, Karamagi, et al) wanakabwa koo hadi kufukuzwa kazi, Kikwete alikuwa Afrika Kusini. Na leo tena wakati mawaziri mizigo wanakabwa koo, yupo nchini Marekani.

Hili suala limekaaje? Inatokea tu kwa bahati mbaya au huwa anasepa kwa makusudi baada ya kusoma alama za nyakati? Je, haoni kwamba anampa shida Pinder kukabili haya majanga peke yake huku akiwa anafahamu udhaifu wa Pinder katika kutekeleza majukumu ya kitaifa?
Nawaza tu!
 
Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,982
2,000
Ndugu yangu kama hujui hata kama yupo nje, mawasiano kiutendaji yapo palepale, na inapokutolea maamuzi anaweza fanya hivo. hata angekuwa hapa angeenda bungeni kusaidia?
 
mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
4,252
2,000
Ni kwanini kila wakati mawaziri mizigo wakikabwa koo Rais Kikwete anakuwa yuko nje ya nchi?

Mtakumbuka kipindi mawaziri wale wanane (Mkulo, Ngeleja, Maige, Mponda, Karamagi, et al) wanakabwa koo hadi kufukuzwa kazi, Kikwete alikuwa Afrika Kusini. Na leo tena wakati mawaziri mizigo wanakabwa koo, yupo nchini Marekani.

Hili suala limekaaje? Inatokea tu kwa bahati mbaya au huwa anasepa kwa makusudi baada ya kusoma alama za nyakati? Je, haoni kwamba anampa shida Pinder kukabili haya majanga peke yake huku akiwa anafahamu udhaifu wa Pinder katika kutekeleza majukumu ya kitaifa?
Nawaza tu!
"Dhaifu"! Asomaye na afahamu!!
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,041
2,000
Usahihi: Mheshimiwa DHAIFU huona aibu kuwawajibisha hivyo anauwasha kisirisiri then anasepa na kuusikilizia ukilipuka akiwa nje. Huo ndio huitwa unafiki wa kiserikali. PERIOD.
 
Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
0
Ki ukweli kabisa huwa anafahamu kitachotokea kinachofanyika ni usanii tu wa kuandaa safari ili raisi asibebe mzigo wa maamuzi na ndio maana maneno ya kuwajibishwa mawaziri yanaanziaga kwa wapinzani halafu anasimama na mbunge wa CCM anamwaga sumu kabla ya vibwagizo vya kiti cha spika na hekaya za Waziri Mkuu!!

Dhumuni ya maigizo yote hayo ni kuepusha lawama kwa raisi kwani mawaziri huteuliwa kishikaji na kwa credibility ya kijuha na kubwa kuliko wote ni siri za matendo hasi kwa amri za wakubwa(rejea saga za Twiga kupanda ndege bila passport wala viza)) kwa hiyo kuzuia malalamiko ya mawaziri kwenda kwa raisi directly ndio inabidi yafanyike maigizo kwenye ukumbi wa bunge kwa ruksa na dokezo la Mkuu wa chuo cha usanii toka Bagamoyo/msoga huku akiwa mbali na theater!!! Ni Uzandiki na upumbavu tu kwani tatizo haswa ni raisi ndio mzigo namba moja,kama engine imekufa then kubadilisha body peke yake ni upuuzi!!
 
NDEO

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
813
225
Sio ndio kukimbia wajibu wake asionekane uwamuzi sio wake,he trying to stay clean,anakimbia lawama dhaifu
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,765
2,000
JK tapeli la kisiasa huwa anandaa mazingira kwanza ndio anaondoka huyo bwana ni kati ya viongozi wanafiki sana kumbuka kauli yake alipozindua bunge 2005 ya I might wear a smile but na ndivyo alivyo anakuchekea huku akikunyonya damu mpaka ufe ndio anakuacha
 
ICHONDI

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
598
250
Sio machale mkuu...kawaida huwa yupo nje ya nchi....mara chache yupo ndani...hii yote wananchi "tusife njaa"....baba anatafuta.
Tena anaacha mke na watoto wale Christmas peke yao, yeye anawahi matibabu.Marekani niijuayo mimi wengi wa specialist kwa week hii na next week wameshakuwa kwenye mood ya holiday, wengine wameshasafiri. Was it best time yeye kwenda USA? I dont think so, could his check up wait, yes if was not life threatening condition.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
Ahsante sana Mkuu Arushaone, hawakukosea kabisa waliomsilimisha na kumpa jina la DHAIFU linamstahili kabisa kwa kila hali.

Usahihi: Mheshimiwa DHAIFU huona aibu kuwawajibisha hivyo anauwasha kisirisiri then anasepa na kuusikilizia ukilipuka akiwa nje. Huo ndio huitwa unafiki wa kiserikali. PERIOD.
 
Last edited by a moderator:

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
17,044
2,000
Kitendo cha kila matukio kutokea na kumkuta yuko abroad ni ishara tosha kwamba jk ni bingwa wa safari....muda anaokaa nchini ni mfupi sana ukilinganisha na muda anaokuwa nje ya nchi. Ama kweli jina la Vasco da Gama linamfaa sana rais wetu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom