Ni kwanini Ikulu duniani hutumia Twitter zaidi?

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Ukiangalia hasa Ikulu ya Marekani na Tanzania hutumia taarifa kwa watu kupitia Twitter. Hata Meko akituma salamu za rambirambi hutumia Twitter. Ni kwanini mabosi hutumia twitter zaidi kuliko Facebook au Instagram?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twitter ndio ilianza kabla ya hizo social network zingine. Lakini pia nature ya twitter tu ilivokaa siyo kila mtu anaweza kuitumia...
Ukiangalia hasa ikulu ya Marekani na Tanzania hutumia taarifa kwa watu kupitia Tweeter.Hata Meko akituma salamu za rambirambi hutumia Tweeter.Ni kwanini mabosi hutumia tweeter zaidi kuliko Facebook au Instagram?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawapendi kusoma story ndefu twitter ina limit na ni fupi na kikubwa twitter haifanyi kazi kama Facebook na zingine kuunganisha watu Twitter ni ideas na topic fupi na message inafika.
Twitter ni unaandika pointi tu haina blaablaa..
Twitter ni mtandao wa watu makini kwa kiasi kikubwa.
Halafu mfumo wa kureply si rafiki kwa watu wa hovyo hovyo.
Twitter ....what's happening

Facebook ...what's on your mind

Linked....connected the world

Zote hizo ni personal websites ,MTU unaweka una habarisha watu wako

Muhimu social media ipi unatumia na kwa nia IPI ( mtazamo wangu)

Ingawa ziko zilizo ki professional zaidi
 
Tangu nijunge na mtandao wa twitter mwaka 2010,
Twitted zangu hazizidi tano
Maana huko ushirikiano
Huwa ni mdogo ukilinganisha
Na mitandao mingine ya kijamii
Ila Twitter ina ustaarabu sana
Sikama mitandao mingine.
🕣 08:33 am
 
Back
Top Bottom