Ni kwanini deni la Taifa linaongezeka badala ya kupungua wakati serikali inalipa kila mwezi?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Mwaka 2018 wakati Mh Rais Dkt Magufuli akihutubia wananchi wa Ndolela, wilaya ya iringa katika uzinduzi wa barabara ya Iringa - Migori- Fufu yenye urefu wa 189km. Alisema serikali sasa imeanza kulipa deni la Taifa kiasi cha 650 billion kila mwezi. Nafikiri iyo ilikuwa $300m tokana na exchange rate ambayo sasa ni tsh 700billion.

Mara ya mwisho Rais John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia wa kuu wa vyombo vya dola, ikulu ndogo ya Chato, alisema aliomba mashirika ya kifedha ya kimataifa yasikopeshe mataifa ya kiafrika bali iwasamehe madeni au ipunguze riba. Alidai Serikali inalipa billion 700 kila mwezi kwa sasa.

Cha kushangaza toka 2018, deni la Taifa halijawahi pungua bali linaongezeka wakati ni kiasi kikubwa cha pato la taifa tunalotumia kulipa.

Tukichukulia mfano kuwa hili deni tumeshaanza kulilipa kwa miaka miwili hivi sasa, maana yake tumeshalipa Trillion 16 Tsh.

Deni la Taifa mwaka 2018 lilikuwa Trilion 51.03 TSh. Maana yake kama Tunalipa deni kila mwezi, kufikia 2020 deni lingekuwa kwenye Trilion 35 Tsh

Ila cha kushangaza, mwanzoni wa mwaka 2020, deni la Taifa limefika trilion 54 Tsh.

Hii maana yake ni kuwa Tunalipa deni lakini linaongezeka.

Nafikiri serikali inabidi itueleze ni kwanini hili deni linaongezeka wakati tunalipa pesa nyingi sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Screenshot_20200430-105017_Samsung%20Internet.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.... kama unalipa 10 halafu unakopa 25 kwanini lisiongezeke? Pia kuna suala la riba hususan mikopo kutoka mabenki na taasisi za kibiashara zenye riba kubwa!
 
Kwanini tusikope WB wakati riba ni ndogo sana au mikopo mingine inakuwa haina riba kabisa. Tunakopa kutoka bank private za nchini vipi Raia nao watakopa wapi sasa. Huoni hii nalo ni tatizo kiuchumi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2018 wakati Mh Rais Dkt Magufuli akihutubia wananchi wa Ndolela, wilaya ya iringa katika uzinduzi wa barabara ya Iringa - Migori- Fufu yenye urefu wa 189km. Alisema serikali sasa imeanza kulipa deni la Taifa kiasi cha 650 billion kila mwezi. Nafikiri iyo ilikuwa $300m tokana na exchange rate ambayo sasa ni tsh 700billion.

Mara ya mwisho Rais John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia wa kuu wa vyombo vya dola, ikulu ndogo ya Chato, alisema aliomba mashirika ya kifedha ya kimataifa yasikopeshe mataifa ya kiafrika bali iwasamehe madeni au ipunguze riba. Alidai Serikali inalipa billion 700 kila mwezi kwa sasa.

Cha kushangaza toka 2018, deni la Taifa halijawahi pungua bali linaongezeka wakati ni kiasi kikubwa cha pato la taifa tunalotumia kulipa.

Tukichukulia mfano kuwa hili deni tumeshaanza kulilipa kwa miaka miwili hivi sasa, maana yake tumeshalipa Trillion 16 Tsh.

Deni la Taifa mwaka 2018 lilikuwa Trilion 51.03 TSh. Maana yake kama Tunalipa deni kila mwezi, kufikia 2020 deni lingekuwa kwenye Trilion 35 Tsh

Ila cha kushangaza, mwanzoni wa mwaka 2020, deni la Taifa limefika trilion 54 Tsh.

Hii maana yake ni kuwa Tunalipa deni lakini linaongezeka.

Nafikiri serikali inabidi itueleze ni kwanini hili deni linaongezeka wakati tunalipa pesa nyingi sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maccm yanalipa kiduchuuuu halafu yanakopa large sum of money

madeni ya ndani tu hayajalipwa ndo iwe hayoo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom