Ni kwa njia gani app developers wa android/IOS wananufaika na app zao?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,252
34,201
Kama kichwa habari kinavyojieleza,

Nimekua nikijiuliza, apps nyingi za android ambazo zipo playstore zinapatikana free(sina uzoefu na iphone kama nao wana free apps) swali ni je hawa developers wa hizi apps wananufaika vipi na hizi apps ambazo nyingi ni free???

Kwa ninavyojua mpaka application ikamilike kuna resources nyingi zimetumika kuanzia time mpaka cash sasa ni vipi hawa developers wananufaika ikiwa app zao zinapatikana free playstore???
 
nami pia nataka kujua
 
App nyingi play store sio free app kama zilivyo andikwa ila in free kwasababu una-install bila ya kulipia lakin ukeenda kwenye ukweli apps ambazo ni free zinabeba ads nyingi sana wakati wa kuzitumia hizo ads ndo zinawalipa hao madeveloper
 
Mkuu shukrani kwa jibu lako!!! Lakin mbona app kama ya jf...aljazeera...bbc...hazina hizo ads je nao hawapati faida??
 
Nami hua najiuliza sana hili swali...naamin wataalamu wa mambo watakuja kutuelewesha.
 
Mkuu shukrani kwa jibu lako!!! Lakin mbona app kama ya jf...aljazeera...bbc...hazina hizo ads je nao hawapati faida??
Chini ya app kabla huja install huwa kunaandikwa aidha
-Bei ya hiyo app-hyo maana yake pre install purchase inabid ulipie kabla huja install
-In app purchase haswa games-hyo maana yake kuna features ukisha install app itabid uzilipie
-Contains ads-hyo maana yake ndani ya app kuna matangazo
Hayo matangazo yanakuwa aidha Google ads ambayo mmiliki anajiandikisha google then anaanza kupokea matangazo na yeye anapata commission kutoka Google au matangazo ambayo mmiliki anaingia mkataba moja kwa moja na anaetaka kutangaziwa biashara yake mfano matangazo yanayoonekana Jamiiforum

-Kuna apps ambazo haziuzwi kabisa na wala hazina ads mara nyingi ni apps za makampuni au brands kwa ajili ya kuzisaidia website zao/kueka urahisi zaidi mfano ndio hizo kama aljazeera au bbc

-Kuna apps kama whatsapp, developer wake anapatia ela kwa brand ya app yenyew
Techno wakieka kasha ambalo lina nembo ya Whatsapp wanailipa whatsapp
Pia unaponunua simu unaikuta Whatsapp isha installiwa tayar apo pia developer analipwa
 
Back
Top Bottom