rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,130
- 4,620
Sawa najua Anna makinda sio kioo lakini nimetoa kama mfano ila nilishawaona wengi sana wa namna hiyo lakini nimeamua kutoa mfano kwa Makinda maana yeye anafahamika na wengi so nipe sababu sasa nazani umenielewa
Nadhani kwenye red kuna tatizo