Ni kwa nini marais wastaafu hawafanyi Kampeni? - Picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kwa nini marais wastaafu hawafanyi Kampeni? - Picha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by admissionletter, Oct 13, 2010.

 1. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pichani ni marais wastaafu wakionekana wame 'relax' wakati wakishiriki kwenye 'Pre wedding celebration' ya mtoto wa Adadi. Tukio limejiri katika siku hizi za mwisho mwisho wakati wana CCM wakiwa 'busy' na kampeni. Nina maswali mawili: Ni kwa nini marais wastaafu hawamsaidii Kikwete? Je, wakati wanapoburudika hapa ni mambo gani ambayo tunaweza kusema waliyajadili kuhusu uchaguzi? Picha kwa hisani ya uturn
   

  Attached Files:

 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  "Never interrupt your enemy when he is making a mistake."
   
 3. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wamemsusa kwa hiyo hakubaliki!
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,467
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Hawana wa kumpigia kampeni
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Makamba, mke na watoto wanatosha
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  "A group of politicians deciding to dump a President because his morals are bad is like the Mafia getting together to bump off the Godfather for not going to church on Sunday."
  -- Russell Baker
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kikwete, makamba, mama salma, ridhiwan na januari mbona wanatosha sana. si ndiyo thithiem hiyo. Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi wataongelea suala gani kwenye kampeni la kumpamba kikwete??? Si aibu tupu!!!
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Best hii thread ishaletwa hapa jamvini tukaijadili na kuitrush. In short hawataki aibu ya kuzomea na wenye machungu na nchi!
   
 9. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,718
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  na ni kwanini wampigie kampeni wakati wao wameshastaafu??????????:A S thumbs_up:
   
 10. u

  urasa JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lacking of moral authorities
   
 11. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila mtu ahangaike na segere lake
   
Loading...